Tangu waamie digital, tbc mikoa mingi haipo. Matangazo hayo ni yenu huko dar siyo mikoa ya pembe zoni.
punguza povu mkuu
Tatizo la Tbc wanapiga makelele mno mtangazi haruhusu kusikiliza kinachoendelea uwanjani
jamani hii style ya watu wa usalama kuning'inia kwenye mlango wa gari ni mbwembwe tu au ina maana yoyote? japo binafsi inanivutia sana
Watu wapo kushangaa NDEGE;
Mkuu inawezekana ikawa ni usalama, inategemea na mahali anapoingia. Mi nakumbuka Rais wakati anatoka Uwanja wa Taifa watu wa Usalama wakawa pembezoni mwa gari alilopanda huku wakimbia kwa miguu.
jamani hii style ya watu wa usalama kuning'inia kwenye mlango wa gari ni mbwembwe tu au ina maana yoyote? japo binafsi inanivutia sana
Tumia kichwa kufikiri, usikitumie kufugia nywele tu
Tatizo la Tbc wanapiga makelele mno mtangazi haruhusu kusikiliza kinachoendelea uwanjani