Maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika/Tanzania bara

watu wanaofika saivi wanashauriwa kwenda moja kwa moja uwanja mkuu wa taifa maana uwanja wa uhuru umeshajaa kabisa!
 
pia tangazo linatolewa kwamba wale wote waliopewa kadi za mualiko kuhudhuria ikulu baadaye kwenye sherehe za uvalishaji nishani, sherehe zimeahirishwa hadi watapotangaziwa tena!
 
jamani hii style ya watu wa usalama kuning'inia kwenye mlango wa gari ni mbwembwe tu au ina maana yoyote? japo binafsi inanivutia sana
 
Mkuu inawezekana ikawa ni usalama, inategemea na mahali anapoingia. Mi nakumbuka Rais wakati anatoka Uwanja wa Taifa watu wa Usalama wakawa pembezoni mwa gari alilopanda huku wakimbia kwa miguu.
 
duh hajampa mkono Lowasa kama kawaida yake, japo lowasa alikuwa karibu yake kawasalimia wengine
 
Mkuu inawezekana ikawa ni usalama, inategemea na mahali anapoingia. Mi nakumbuka Rais wakati anatoka Uwanja wa Taifa watu wa Usalama wakawa pembezoni mwa gari alilopanda huku wakimbia kwa miguu.

hiyo staili ya kukimbia kwa miguu inanivutia pia
 
jamani hii style ya watu wa usalama kuning'inia kwenye mlango wa gari ni mbwembwe tu au ina maana yoyote? japo binafsi inanivutia sana

Mi pia huipenda sana hasa pale wanapokuwa ndo wanatoka kwenye gari na kusimama hapo nje huku gari ikitembea kwa kasi kama movie vile
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom