Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

kumnyima fursa Rais kwa kanuni za itifaki sio kukosa adabu kwa Rais. kumbuka pia kwamba sio kila tendo ambalo Rais atafanya nje ya Ratiba litawafurahisha wote hivyo ni bora kuzuia mazoea ya Rais kufanya mambo nje ya utaratibu uliopangwa kuna siku ataachwa kufanya jambo pia tutawalaumu watu wa Ikulu
 
Hebu tujaribu kutengeneza mazingira ya kufikirika kwa mfano, kila mtu aliopo ukumbini pale Ikulu akitaka kupiga picha na rais au kufanya kitu chochote kama vile kuongea naye kwa muda mrefu je ulitaka watu wa Ikulu wamwache tu? kama ingeruhusiwa unafikiri ni wangapi wangetaka kupata picha ya kumbukumbu na Rais? Hizi ni fursa adimu zinaweza kuwa misused au abused kama hakuna wa kuthibiti bila kujali anamuudhi nani.
 
ili kusherehekea vizuri lazima tuanze sasa kuidai Tanganyika yetu uliyouzwa na Nyerere kwa washihiri wa kizanzibar!!
Jambo pekee ambalo sitamsamehe nyerere ni kuuza utaifa wetu! it was a terrible mistake!!
 
KWA SHABIKI WA JK NAOMBA ANISAMEHE KWA HILI:- Sijawahi sikia hotuba ya JK yenye muelekeo na mtazamo wa kuhamasisha au kujenga taifa zaidi ya blabla tu za kisiasa!! JK alitakiwa kusoma hotuba za katibu mwenezi wa CHAMA si Rais wa Jamhuri maana hotuba zake zoote tangu akiwa waziri wa mambo ya nje ni propaganda tu ambazo hazina mashiko!!! Kuna kipindi hadi sitta aliahirisha mjadala wa hotuba yake mpaka itakapongiliwa upya na wasaidizi wake!!! therefore JK is not a Commanding President!!
Great thinkers wenzangu huyu Rias wetu nahisi amekosea, ila natanguliza "I stand to be corrected if I'm wrong" kitu alichoongelea hasa ni kuwabeza wanaharakati "vijana" aliowanukuu akigusia suala la zima la barabara kuwa kipindi cha uhuru tulikuwa na barabara mbili na sasa tunazo nyingi mno hazina kifani na bado tunaendelea kujenga.

Kwa mtazamo wangu nilitegemea raisi maneno ya mipasho angeyaongea kwenye hotuba zake za mwez mwez kuliko kwenye dhifa tukufu la kitaifa aangalie great thinkers and speech writers kama akina Obama and John F. Kennedy kwa hotuba nzuri wazitoazo.

(Kuna kipindi fulani alipokuwa anazindua upanuzi wa barabara ya mwenge kuelekea tegeta alianzia hapo hilo pasho la barabara na kuongezea kuwa nchi yetu ni kubwa hivyo hata maendeleo yataenda kwa pace ndogo na ingekuwa nchi zingine ujenzi wetu huu wa barabara ungefunika hadi vichochoroni, hahahaha jakaya bana) Mpaka cku zingine nafikiria where were the great speechs of Rais Kikwete enzi za 2005 cha mchuano wa kugombea urais? Ama za kuapishwa? Ama za kufungua bunge tukufu?

Au ile ya kuchagua baraza la mawaziri? Kweli leo sikutegemea mbele ya wageni na wanadiplomasia mashuhuri tena katika siku ambayo ni kuu kwa taifa letu Raisi kuongea mipasho "this was very unprofessional" ukianza kufatilia hotuba za cku hz za Raisi Hazina mvuto kama ambavyo kapoteza mvuto kwa watanzania waliomwamini na kumkabidhi nchi kipindi cha uchaguzi wa 2005.

Inaonekana kabisa kwamba saa hizi Ndugu mheshimiwa Jakaya hajiamini tena ni kama vile kasema bora iende mpaka hapo 2015 atakapoachia ngazi lakini huu ni ubinafsi ukiangalia kwa mrengo mwingine anakuwa hawatendei haki watanzania wenzake. This is JF where we dare to talk openly, siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli niuonavyo mimi
 
umenikumbusha ya akina chief MANGUNGO na kusaini mikataba na wajerumani!
1. Kuazimisha uhuru wa nchi ambayo haijawahi kudai uhuru katika uso wa sayari yetu ya dunia-Tanzania bara

2. Kuonekana ombaomba wa kutupwa kwa wale tuliowaita wakoloni miaka hamsini iliyopita

3.Watawala kujigeuza wakoloni weusi na wanyonyaji wakubwa wa raia na nchi kuonekana ombaomba zaidi ya ilivyokuwa miaka hamsini kabla ya uhuru

4. Kugawa rasilimali za nchi kwa wale tuliowaita wakoloni miaka hamsini iliyopita kwa kasi ya ajabu huku tukiwapigia magoti kwenye kusaidia budget ya serikali huku uchumi wa nchi ukididimia zaidi ya miaka hamsini ya uhuru

5. Kuzidiwa na wale tuliowaita wakoloni kwa kuweza kuzitunza rasilimali zetu miaka hamsini iliyopita huku viongozi wetu wakishindwa kuzitumia kwa maslahi ya taifa na vizazi vijavyo na kuanza kuziuza kama ubuyu ikiwa ni pamoja na kutorosha wanyama wakiwa hai na kusafirisha makontainer ya udongo uliojaa dhahabu kwenda kwa wale tuliowaita wakoloni miaka hamsini iliyopita.

6. Kuwa na kiongozi shupavu na jasiri, asiyekuwa na aibu wa kuzunguka dunia nzima akiombaomba na kushindwa kujua tatizo la umasikini wa watu wake katika taifa lenye kila aina ya rasilimali.

7. Kuwa na rais aliyeambiwa na Obama kuwa matatizo ya Afrika hayawezi kumalizwa na misaada badala yake ni kuangalia namna ya kuweza kusimamia vizuri rasilimali tulizonazo kwa maslahi ya taifa na watu wake na kudhibiti ufisadi. Baada ya siku chache baadaye kiongozi huyo akapokea vyandarua in exchange of uranium ya Namtumbo!

8
9
10
 
Hebu tujaribu kutengeneza mazingira ya kufikirika kwa mfano, kila mtu aliopo ukumbini pale Ikulu akitaka kupiga picha na rais au kufanya kitu chochote kama vile kuongea naye kwa muda mrefu je ulitaka watu wa Ikulu wamwache tu? kama ingeruhusiwa unafikiri ni wangapi wangetaka kupata picha ya kumbukumbu na Rais? Hizi ni fursa adimu zinaweza kuwa misused au abused kama hakuna wa kuthibiti bila kujali anamuudhi nani.
Inaelekea watu wa Itifaki ni wavivu kufikili kama hawakutaka kuliweka tendo kubwa kama hilo kwenye kumbukumbu za kitaifa basi hakukuwa na sababu ya sherehe hiyo na pia watu wa itifaki hawana ustaarabu manake walikuwa wanapiga kelele kwa nguvu kuulizana nini kinafuata kubali tatizo ni kubwa nadhani kuna uozo wa wazi hayo leo tumeyaona vile yalikuwa hewani mangapi yanapita kumdharau huyu bwana
 
0010.gif
0020.gif
0001.gif
0014.gif
0007.gif
0001.gif
0014.gif
0025.gif
0009.gif
0011.gif
0001.gif
0005.gif

0027.gif


Mkuu umefanya vizur bt nenda kaedit hiyo bendera yako bcoz sio ya tanganyika upo hapo
 
Wageni Rasmi hawajaelewa wamealikwa kwenye Sherehe ya Nchi Ipi Na Maraisi wengi wamegoma kuja Wakiamini ni Usanii kwani hakuna Nchi iitwayo Tanzania Bara. Nchi gani haina Bendera
 
Back
Top Bottom