Maadhimisho ya miaka 50 ya BAKWATA tangu kuanzishwa, kufanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,261
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), iilianzishwa rasmi Disemba 17, 1968 ambapo Disemba 17, 2018 Bakwata itatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.

Maadhimisho ya miaka 50 ya baraza kuu la waislamu Tanzania BAKWATA yana lengo la kuwapa picha halisi waislamu wa Tanzania walipotoka na wanakoelekea ili hatimaye kujenga umoja wa kweli baina ya waislamu kimkakati.

Maadhimisho hayo kufanyika jijini Dar es salaam kwa mambo yafuatayo;

1. Kongomano maalumu la siku moja litakalo fanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere leo Disemba 16, 2018.

2. Michezo ya viongozi wa kiislamu ikiwa pamoja na mpira wa miguu katika uwanja wa Jakaya Kikwete kuanzia alasiri, Disemba 16, 2018.

3. Maandamano makubwa (Zafa) Disemba 17, 2018 saa 9 alasiri kuanzia makao makuu BAKWATA mpaka ukumbi wa Diamond Jubilee.

5. Sherehe ya halaiki kwenye ukumbi huo wa Diamond Jubilee kuanzia saa 10 jioni baada ya maandamano makubwa (Zafa)

Watakao hudhuria Kongomano maalumu kutoka mikoani ni viongozi saba wenye sifa kama watakavyoelekezwa na Katibu mkuu wa Bakwata. Pamoja na waalikwa wengine watakaoalikwa kuwakilisha taasisi mbalimbali za kiislamu au kijamii.

Watakaohudhuria maandamano (Zafa) ni waislamu wote wapenda maendeleo ikiwa pamoja na wawakilishi wa Mikoa, Misikiti, Madrasa, Zawiya, Shule au kikundi chochote cha wapenda maendeleo ya waislamu na jamii kwa ujumla kutoka mkoa wowote nchini Tanzania.

Watakaohudhuria maandamano (Zafa) ni pamoja na watu wengine muhimu na mashuhuri wakiongozwa na viongozi wa Serikali na BAKWATA.

Mufti wa Sheikh Abubakar Zubairy bin Ally anaziomba Taasisi mbalimbali pamoja na Misikiti, Madrasa na Zawiya pamoja na vyuo vikuu na vyuo vikuu vya kiislamu kushiriki kwa hali na mali katika maadhimisho hayo.

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA ni chombo cha waislamu wote nchini, hivyo mnaombwa waumini wote wa kiislamu kushiriki kikamilifu kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya BAKWATA bila kujali Taasisi na madhehebu

Wabillah Tawfiq.
IMG_20181216_074350_271.jpeg
IMG_20181216_074546_555.jpeg
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), iilianzishwa rasmi Disemba 17, 1968 ambapo Disemba 17, 2018 Bakwata itatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.
Kila la kheri

Wabillah Tawfiq.View attachment 969416View attachment 969417
 
Kila la kheir
 
Miaka 50 hamna shule ya BAKWATA japo kila wilaya,hamna hospitali japo kila mkoa,hamna vyuo hata chuo kikuu kilichojengwa na Bakwata.Hata kujichimba visima vya maji kwa jamii za watu vijijini hamna.JITAFAKARINI BAKWATA.
 
Dah...hivi Bakwata inaunganisha madhehebu yote ya kiislam? Nauliza tu...
 
Wamefanya nini hawa kwa Waislam ?
Basi wamtake Rais awaachie Masheikh wanao ozea jela bila kesi.
Hio itakua sherehe tosha. Otherwise waache unafiki
 
Mimi ni muislamu wa damu lkn bakwata ni hatari kwa uislamu.
Waislamu wengi huku mikoani hawataki hata kuisikia.
Kazi kubwa ni kutangaza muandamo wa mwezi na kutoa ruksa ya kufunga au kufungua kula wali basi.
Vingine vyote ni siasa tu.
 
Naomba Bakwata wasisahau kuwa kuna masheshe wa UAMSHO wana zaidi ya miaka minne ndani bila kesi yao kusikilizwa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom