Habar kutoka mtu wa karibu na Ikulu zinasema kwamba CCM sasa wataadhimisha miaka 34 ya WIZI ktk kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru dec. 9 mwaka huu. Kauli mbiu yao ni hii,according to reporter! Wizi wa Kura Daima, Ufisad Mtindo Mmoja, Uporaj wa Rasilimal Tutaendeleza, Polis ndio Ngao Yetu na Upendeleo wa kuenzi Mbumbumbu ndio Ilani Yetu. Je, hii ni sawa? Naomba kuwasilisha.