Maabara ya bahama health labolatory(mwanza) yakutwa ikigawa dawa zilizo expire

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Serikali kupitia naibu msajili wa maabara bwa thomas mshana imefunga maabara kubwa na maarufu hapa mwanza kama bahama h l.kwa kukutwa wakigawa dawa na kuandika karatasi za kwenda kuchukulia dawa badala ya dk ambae ndie mwenye zamana ya kuandika..
Kwanza ndugu mwandishi tumeifungia kwa sababu nyingi moja hawa jamaa unawoana awana hadhi ya udaktari lakini humu humu watu wanaandikiwa dawa za malaria dawa za magonjwa makubwa unaona hizi form baya zaidi wanagawa dawa ambazo zimeshaisha muda huu ni uhuni na baya zaidi wanashiirkiana na baadhi ya hospital wakidai wale ndie wanaopima vizuri na watapata dawa hapo hapo

kazi ipo

nakupenda tanzania
 
Si jambo la hajabu kwa Tanzania. Lakujiuliza ni kwamba: Kama mambo kama hayo yanatokea mijini, je vijijini watapona kweli?
Zaidi ya kufungwa kwa kituo, je watu walio walio adhirika kwa kupata huduma mbovu watafidiwa na nani?

Jamani watanzania kila kona wanafanyiwa visivyo.
 
Back
Top Bottom