Ma Star wakubwa waliowahi anguka hadi chini Jukwaani

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,057
Hivi bongo ishawahi kutokea msanii kadondoka?

Nimeikuta hii mahali...hebu tupia jicho. .

Rihanna na Beyonce washakula mzinga sana

Ethos
 
bongo sidhani Kama itakuja tokea siku msanii akaanguka jukwani, kwakuwa hamna nguvu wanayoitumia, wanachofanya ni kuweka CD na kuifatisha tofauti na huko USA wanapoimba live inahitaji punzi sana
 
bongo sidhani Kama itakuja tokea siku msanii akaanguka jukwani, kwakuwa hamna nguvu wanayoitumia, wanachofanya ni kuweka CD na kuifatisha tofauti na huko USA wanapoimba live inahitaji punzi sana
Hahahahah..we jamaa bana. .ila kweli
 
Tittle ingefaa kuwa "mastar wanawake..."
Maana wote hao ni wanawake!
 
Bongo niliishudia Marehemu mangwea RIP alidondoka jukwaani uwanja wa Jamhuri aliitwa jukwaani na Prof J aje aimbe wimbo wake wa Geto langu....J alikuwa anatangaza album yake ile yenye nyimbo ya zali la mentali nakumbuka akitaka kuperform lazima avae zile nguo zake za kwenye shooting
 
Back
Top Bottom