Ma-hrm tusaidieni tatizo ni nini mpaka hatupati kazi?

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Wakuu heshima kwenu!. Mimi ni graduate na nimekuwa nikituma applications nyingi tu sehem tofauti tofauti kuomba kazi lakini sijawahi hata kuitwa tu kwenye interview,sasa najiuliza tatizo nini?,au nafanya makosa ktk kuapply?. Naomba HRM au yeyote yule mwenye uzoefu kuhusu jinsi ya kuapply anijulishe ili nimtumie moja ya application ili aione na anisaidie kuirekebisha kama ina makosa... Nashukuru sana. Email:pawaga@hotmail.com
 
tumaini university,.bachelor of Accountancy
 
Wakuu heshima kwenu!. Mimi ni graduate na nimekuwa nikituma applications nyingi tu sehem tofauti tofauti kuomba kazi lakini sijawahi hata kuitwa tu kwenye interview,sasa najiuliza tatizo nini?,au nafanya makosa ktk kuapply?. Naomba HRM au yeyote yule mwenye uzoefu kuhusu jinsi ya kuapply anijulishe ili nimtumie moja ya application ili aione na anisaidie kuirekebisha kama ina makosa... Nashukuru sana. Email:pawaga@hotmail.com

Hii taaluma ya HRM imevamiwa siku hizi.
Maadili hakuna kabisa, unaweza tuma application wala wasiisome. Mara nyingi kazi nyingu=i huwa ni geresha tu. Wanakuwa na mtu wao waliomuandaa. Wengine wanasindikiza tu.
 
Ndugu yangu,
Ili application yako ifanikiwe ni vema uzingatie vigezo vilivyowekwa kwenye tangazo husika. Elewa kuwa qualified qraduates ni wengi hivyo kuna stiff competition, yakupasa uwe ni vigezo ambavyo kwako vinakuwa ni advantage ya ziada kwako mf. kujua moja ya accounting packages.
Aidha, utumapo application mahali ambapo hawajatangaza kuwa wana nafasi wazi, ni sahihi kwa HRMs kutoisoma application yako kwani haisaidii kitu chochote hata akiisoma.
Ubarikiwe ndugu yangu Pawaga
 
Ndugu yangu, Ili application yako ifanikiwe ni vema uzingatie vigezo vilivyowekwa kwenye tangazo husika. Elewa kuwa qualified qraduates ni wengi hivyo kuna stiff competition, yakupasa uwe ni vigezo ambavyo kwako vinakuwa ni advantage ya ziada kwako mf. kujua moja ya accounting packages. Aidha, utumapo application mahali ambapo hawajatangaza kuwa wana nafasi wazi, ni sahihi kwa HRMs kutoisoma application yako kwani haisaidii kitu chochote hata akiisoma. Ubarikiwe ndugu yangu Pawaga
mkuu mlongahilo,.asante sana mnyalukoro kwa maelezo yako,vip lkn kutuma application ambapo hawajatangaza ni kosa?,je kama nilituma kabla hawajatangaza then baada ya muda wanatangaza,natuma tena au ile ya kwanza inatosha?. Ubarikiwe pia mnyakilambo.
 
Ndugu yangu,
Ili application yako ifanikiwe ni vema uzingatie vigezo vilivyowekwa kwenye tangazo husika. Elewa kuwa qualified qraduates ni wengi hivyo kuna stiff competition, yakupasa uwe ni vigezo ambavyo kwako vinakuwa ni advantage ya ziada kwako mf. kujua moja ya accounting packages.
Aidha, utumapo application mahali ambapo hawajatangaza kuwa wana nafasi wazi, ni sahihi kwa HRMs kutoisoma application yako kwani haisaidii kitu chochote hata akiisoma.
Ubarikiwe ndugu yangu Pawaga

mm nimesoma accounting package 4 ( tally , quickbook , myob and pastel) na kwenye CV yangu zinaonekana lakini mpaka leo cjaitwa sehemu yeyote.

so Accounting package sio issue.
 
ma HR siku hizi hawana say kwenye organisation nyingi wanafata maamuzi toka juu. unaweza kuta director anakuja na majina yake tayari so ni ngumu... ila nakushauri tengeneza cv yako vizuri iwe detailed cv. na kama unaona kazi kupata ngumu omba volunteer itakusaidia kupata experience au omba kama intern kwanza. nipe email yako naweza kukushauri zaidi
 
Tatizo si HRMnyi watu mbona kama mna ubongo wa kuku...?Tatizo SERIKALI YENU IMESHINDWA KUTENGENEZA AJIRA...............NA HAYA NDO MAISHA YETU KAMA HATUTAKI KUINGIA BARABARANI....wE sOMA WEEEEE BUT U WILL END UP BEING A LOOOSER
 
ni kweli kazi ni ngumu kupatikana, serikali imeshindwa kutengeneza kazi.wamefikia mwisho hawawezi tena kutengeneza ajira cha msingi kubadilisha serikali na kuweka mpya itakayotengeneza ajira za kutosha.
 
Tatizo la ajira ni kubwa. Jitahidi kutuma ipo siku utatusua. Kutuma kabla ya kutangazwa nafasi huwa kuna advantage pia angalia kama unafanya free lance sales and marketing huwa wengine wanakamata directory na kuicontact business venture na kuipa idea yako.
 
asante babu ubwete,
 
Kazi ngumu kweli hapa bongo..kubeba boksi/magunia hapa Tz si utalipwa 500/= kwa siku.
 
mkuu mlongahilo,.asante sana mnyalukoro kwa maelezo yako,vip lkn kutuma application ambapo hawajatangaza ni kosa?,je kama nilituma kabla hawajatangaza then baada ya muda wanatangaza,natuma tena au ile ya kwanza inatosha?. Ubarikiwe pia mnyakilambo.

application sahihi ni ile ya baada ya kutangaza nafasi za kazi, ukisha tuma ya kwanza kabla ya wao hawajatangaza na wakaona sifa zako zinafaa wanakuita moja kwa moja hakuna haja tena ya kutangaza nafasi hiyo labda kama na wao wanalazimika kufanya hivyo, lkn pia ukiona nafasi hiyo imetangazwa tena usisite apply.
 
Back
Top Bottom