Ma-hrm tusaidieni tatizo ni nini mpaka hatupati kazi?

be mnya kwitunundu,ikasi kuboma nalamu sana,kangalage ndaiyo ela..ndauli Arusha wazima?

Dah wadau mnamadiscussion mpaka nafurahi,kweli kazi ni ngumu lakini anza na yyte itakayokuweka mjini na kkupa uwezo na nguvu za kutafuta zingine ila uckate tamaaa kila la kheri

We ngaliba dume ndio lugha gani hiyo tena mbona ckuelewi fafanua kiswanglish basi

kama unataka interview send ur cvs erolink..wapo morocco..mataa karibu na kanisa la kishua pale

Wakuu mlionitangulia hapo juu heshima zenu.

Naomba nichangie na mimi kwa mtazamo wangu .

1. Naungana na hoja kwamba Kazi kwa tanzania ni chache ukilinganisha na zalisho la vyuo vyetu kila mwaka hii kwangu haina mjadala.
2. Pamoja na hilo Napenda kurudisha lawama kwa Wa-TZ wenzangu kwamba hatuna sifa , nikisema hatuna sifa nina maana kubwa mbili tu
• Ya kwanza hatujui kutuma na kuandika ipasavyo barua na docs zinazohitajika ktk michakato ya kuombea kazi hili hakuna mtu analoliona kama ni Tatizo lakini kwanu mimi naona na nakumbana nalo sana .
Mfano : Umetangaza mtu alete Resume anakuletea CV , unamuambia alete trancript anatuma cheti , alete recommendation letters anakuorodheshea referees , jamani hili ni tatizo haswa kwenye mashirika ya Kimataifa .
• Pili WA-TZ kama kawaida yetu hatujiamini kabisa wakati wa Interview zenyewe kwahiyo chance za kukosa ni kubwa sana , na pia hatujui kujibu maswali ya interview inavyotakiwa .
Ikumbukwe mambo niliyoyataja hapo juu hakuna chuo kinachofundisha , me mwenyewe pia nilivyotoka chuo nilipata taabu kwelikweli lakini nilijifundisha mwenyewe kwa msaada wa technolojjia na pia nilipata jamaa mmoja wa Huko duniani(ulaya) ndio akanipa darasa la michakato ya kuomba,kujiandaa na kufanya interview namshukuru sana kwani najiona niko tofauti sana na nashukuru nimepata kazi na nikiomba huwa naitwa mara nyingi .

MImi ni HR , kwahiyo najua matatizo ya kazi na sisi vijana yanayotupata , najua tuna kazi sana .
@Pawaga usikate tamaa jaribu kuangalia upya applications zako na je zinaendana na hadhi ya kisasa inavyohitajika .

nashkuru kwa kunipa nafasi ya kuchangia wakuu wote

Wakuu mlionitangulia hapo juu heshima zenu.

Naomba nichangie na mimi kwa mtazamo wangu .

1. Naungana na hoja kwamba Kazi kwa tanzania ni chache ukilinganisha na zalisho la vyuo vyetu kila mwaka hii kwangu haina mjadala.
2. Pamoja na hilo Napenda kurudisha lawama kwa Wa-TZ wenzangu kwamba hatuna sifa , nikisema hatuna sifa nina maana kubwa mbili tu

Ya kwanza hatujui kutuma na kuandika ipasavyo barua na docs zinazohitajika ktk michakato ya kuombea kazi hili hakuna mtu analoliona kama ni Tatizo lakini kwanu mimi naona na nakumbana nalo sana .

Mfano : Umetangaza mtu alete Resume anakuletea CV , unamuambia alete trancript anatuma cheti , alete recommendation letters anakuorodheshea referees , jamani hili ni tatizo haswa kwenye mashirika ya Kimataifa .

Pili WA-TZ kama kawaida yetu hatujiamini kabisa wakati wa Interview zenyewe kwahiyo chance za kukosa ni kubwa sana , na pia hatujui kujibu maswali ya interview inavyotakiwa .

Ikumbukwe mambo niliyoyataja hapo juu hakuna chuo kinachofundisha , me mwenyewe pia nilivyotoka chuo nilipata taabu kwelikweli lakini nilijifundisha mwenyewe kwa msaada wa technolojjia na pia nilipata jamaa mmoja wa Huko duniani(ulaya) ndio akanipa darasa la michakato ya kuomba,kujiandaa na kufanya interview namshukuru sana kwani najiona niko tofauti sana na nashukuru nimepata kazi na nikiomba huwa naitwa mara nyingi .

MImi ni HR , kwahiyo najua matatizo ya kazi na sisi vijana yanayotupata , najua tuna kazi sana .
@Pawaga usikate tamaa jaribu kuangalia upya applications zako na je zinaendana na hadhi ya kisasa inavyohitajika .

nashkuru kwa kunipa nafasi ya kuchangia wakuu wote

Mkuu Makuti,asante sana kwa mawazo yako ambayo kwa kweli ni constructive sana but hujatatua tatizo,.tunaomba kama inawezekana utusaidie kujua barua inaandikwaje na docs zipi lazima ziwe ktk package ya application. Wewe umesema ulisaidiwa,nami naomba unisaidie maana tayari kwa kiwango changu nimejaribu na ninahitaji mtu wa kuihakiki ambae ana uzoefu wa hii ishu.. Asante sana mkuu.

Wakuu heshima kwenu!. Mimi ni graduate na nimekuwa nikituma applications nyingi tu sehem tofauti tofauti kuomba kazi lakini sijawahi hata kuitwa tu kwenye interview,sasa najiuliza tatizo nini?,au nafanya makosa ktk kuapply?. Naomba HRM au yeyote yule mwenye uzoefu kuhusu jinsi ya kuapply anijulishe ili nimtumie moja ya application ili aione na anisaidie kuirekebisha kama ina makosa... Nashukuru sana. Email:pawaga@hotmail.com

Kazi inasema mwombaji awe na experience ya miaka 5 na wewe unaomba hapo hapo ukikosa hiyo kazi utamlalamikia nani?

Nakushauri tafuta sehemu halafu ufanye kama volunteer hata kama wanakupa pesa ndogo, itakusaidia kupata experience, na kuongeza network. Kama una senti kidogo jiandikishe kusoma CPA. Accounting kwa sasa ina ushindani. Peleka applications as many places as you can no matter wametangaza au la.

Back
Top Bottom