Ma HR wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Kinondoni wanaringa sana mpaka wanakwaza

muneera75

Senior Member
Oct 12, 2019
190
500
Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta.

Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera anjivuta sana mara apumzike mwishoni ndo anakupa jibu.

Wewe ushawahi kukutana na dhahma kama hii?
 
de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
703
1,000
Yaani kusoma tu Tanzania tena kwa elimu yetu ya kukalili useme na wewe una elimu

Mtoa mada, elewa tu hiyo huwa ni tabia ya mtu basi pengine pia kufanya kazi kwa mazoea.
Waache waringe si wamesoma hahaha
 
nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
282
250
Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta.

Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera anjivuta sana mara apumzike mwishoni ndo anakupa jibu.

Wewe ushawahi kukutana na dhahma kama hii?
Mimi nahisi shida Haipo kwa Hao HR shida ni sisi wenyewe mara nyingi kila mtu ana kaubinafsi chake na Dharau juu Hivyo Unavyokuwa mbele ya mtu unataman mtu ajue status Yako.

Ila mwisho Hata kama Anaringa na ww Ringa unapokuwa sehemu yako.

Na ndio maana mimi ninapokuwa Eneo langu la Kulinga (Hospital)Nalitumia Ipasavyo ni mahali ambapo kila mtu anakuja kwa upole..
 
Mzee Wa Republican

JF-Expert Member
Jul 20, 2013
1,276
2,000
Kuna siku nilienda manispaa ya Temeke nikakutana na HR. Daaaah . . . yule dada bwana . . alikuwa ananijibu huku anaendelea kuche za na simu (Kikwete days). Naendelea kumuuliza maswali akaniitia mwenzake baada ya kuona style ya maneno yangu akashtuka . . Anyway ma-HR jamani jitahidini sana kuwasikiliza watu. Naamini kwa sasa atakuwa amebadilika. Nitamtembelea siku moja nijionee
 
Babluu

Member
May 25, 2020
48
125
Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta.

Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera anjivuta sana mara apumzike mwishoni ndo anakupa jibu.

Wewe ushawahi kukutana na dhahma kama hii?
Hao ndiyo walivyo karibu HALMASHAURI nyingi SABABU wanapenda ukiritimba Sana kwenye maswala ya kuwatumikia wananzengo.Pia huwa wanadharau mno.Hawaja kidhi vigezo vya hiyo nafasi waliyonayo.Maana lazima uwe msikivu KIONGOZI.😂😂Tena huwa wameweka kwenye notes board andiko la sifa za KIONGOZI bora lakini wao hawana polite
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom