We huna swali wewe...mbona unaanza na maringo!...hapa ni 24/7 watu wako ON unapata majibu!Habari za jioni wakuu,
nna swali linanitatiza,sasa naomba wenye dhamana hii wajitokeze plz kunisaidia.
Thanx.
we huna swali wewe...mbona unaanza na maringo!...hapa ni 24/7 watu wako on unapata majibu!
pakajimmy wacha mkwara bwana. Mi nataka hr,ka ww ni mmojawapo niambie basi.
Pj, umeniacha solembaaaaaa..
what do u want to know in hr ?
nataka kujua ukweli wa kuwafanyisha watu interview hewa kumbe kazi zina watu tayari.
nataka kujua ukweli wa kuwafanyisha watu interview hewa kumbe kazi zina watu tayari.
it depends with the policy, as for me if i know i could get people from inside i don't advertise but if there isn't any from inside then u go out, however u can't go to all the trouble if u already know who u want though networking is important, e.g if i tell u who i am, u will call me daily for jobs, not bad but not proffesional!