Ma DJ wa Triple A Arusha wanatokea Espaniola?.

Penologist

JF-Expert Member
Feb 25, 2019
788
1,903
Triple A ni radio bora kuwai kutokea ukanda wa kaskazini yenye makao yake makuu sakina Arusha ilifanikiwa kuwashika wasikilizaji wa rika zote kwa kupiga mziki wa kaskazini na wa tanzania kwa ujumla.
Cha ajabu sikuizi hii radio imekuwa inapiga manyimbo hayaeleweki ni ya kibrazili au argentina ni nyimbo za ajabu kwa kweli mara tu inapofika usiku ni nyimbo za kiispaniola na kireno kama leo ndio wame throwback manyimbo ya america ya kusini ambayo nauhakika huko mexico hawasikilizi izo nyimbo.
Watu mlioko karibu na papa king au kama papa king upo humu jibu maswali ya wasikilizaji hivi triple a imekuwa na ma DJ wa hispania sikuizi ama ni nini.Alafu si kuna sheria ya vyombo vya habari kucheza nyimbo za ndani kwa asilimia 80 sasa ina kuaje nyie mnacheza nyimbo za ajabu ajabu tu.Bora hata mngekuwa mnapiga nyimbo za wasanii wa kubwa wa uko.Cha kushangaza mnapiga nyimbo ambazo watu tulip na exposure na mziki wa kimataifa hatujawai kuzisikia.Badilikeni mbona nyimbo za kibongo hasa za Arusha zipo nyingi kali kuliko msipo badilika na kupiga nyimbo za ndani mtapoteza wasikilizaji wengi labda kama mnarusha matangazo yenu huko Buenos a euros.
 
Watu wengi wa Arusha wanapenda Spanish,
Hasa wengi wanandoto za kuwa na watalii.
Hata vijana wao wengi wamesoma hiyo lugha
Kama ingekuwa hivyo si tungesikia nyimbo za kifaransa na kijerumani mixer kiitaliano kwa maana ndiozo lugha zinazo oongoza kufundishwa Arusha.
 
Kifaransa walikiskia tangu utotoni!
Nyimbo za awilo longomba ,yondo sister n.k

"hata mifano ni hizo nyimbo class mwl ana tafsiri"
Italian sio swaga, lkn French ni swaga pia"
Kasikilize nyimbo za anuel YouTube

Hao uliowataja wanaimba kilingala na kuchanganya kifaransa kidogo kibovu cha Kongo mkuu,infact nimewai kuwa fly Cather Arusha kitambo kabla sijaenda versity nimekaa sana na tour guides hawasikilizi nyimbo za kifaransa wala kiispaniola,kwa hiyo si sababu wala kigezo cha kuwafanya triple A kupiga nyimbo za argentina na mexico
 
Kuanzia saa 2300 -0600hrs redio, tv nk wanaruhusiwa kupiga nyimbo yoyote isiyovuka nje ya maadili.

But kila media na muandaaji wa kipindi ana choice yake apige nyimbo gani, that is why muda huo huo ukisikiliza RFA utasikia nyimbo za kihindi, ukienda UHAI utasikia kaswida za Dubai, SUNRISE utasikia zilipendwa nk.
 
Triple A ni radio bora kuwai kutokea ukanda wa kaskazini yenye makao yake makuu sakina Arusha ilifanikiwa kuwashika wasikilizaji wa rika zote kwa kupiga mziki wa kaskazini na wa tanzania kwa ujumla.
Cha ajabu sikuizi hii radio imekuwa inapiga manyimbo hayaeleweki ni ya kibrazili au argentina ni nyimbo za ajabu kwa kweli mara tu inapofika usiku ni nyimbo za kiispaniola na kireno kama leo ndio wame throwback manyimbo ya america ya kusini ambayo nauhakika huko mexico hawasikilizi izo nyimbo.
Watu mlioko karibu na papa king au kama papa king upo humu jibu maswali ya wasikilizaji hivi triple a imekuwa na ma DJ wa hispania sikuizi ama ni nini.Alafu si kuna sheria ya vyombo vya habari kucheza nyimbo za ndani kwa asilimia 80 sasa ina kuaje nyie mnacheza nyimbo za ajabu ajabu tu.Bora hata mngekuwa mnapiga nyimbo za wasanii wa kubwa wa uko.Cha kushangaza mnapiga nyimbo ambazo watu tulip na exposure na mziki wa kimataifa hatujawai kuzisikia.Badilikeni mbona nyimbo za kibongo hasa za Arusha zipo nyingi kali kuliko msipo badilika na kupiga nyimbo za ndani mtapoteza wasikilizaji wengi labda kama mnarusha matangazo yenu huko Buenos a euros.
Mkuu si ubadili station tu!
 
Kuna radio flani iyo siku nawasha walikua wameweka wimbo wa msiba nikashtukaa nikajiuliza Nani Kavuta?? Nikasubiri ule wimbo uishe nisikie ninani amerudisha number kwa muumba Cha kushangaza wimbo umeisha waongoza vipindi wakawa wanajichekesha chekesha mxiouuu.... Nlishikwa na hasira nkajiuliza Hawa hawajui kueka nyimbo kutokana na yanayohusika yanayo endelea shwaiiinii kabisaa
 
Back
Top Bottom