Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,701
- 6,658
Haya haya wakuu mwaka ndo hivyo tena unatokomea;
Hivyo basi nimeona siyo kesi kwa sisi wapenzi wa kusikiliza music nije na list ya baadhi ya madj waliofanikiwa kuukonga moyo wangu vilivyo katika suala zima la burudani nao si wengine bali ni;
@Dj sinyorita
@DJ D ommy
DJ zero
@Dj Scratch designer
@Dj Ferruh
@Dj Nico track
@Dj Dea
@Dj Mami
@Dj Summer tz
@Dj Martin kanyala
Aiseee wapo wengi ila hao ni baadhi tu kati ya wengi kwa mwaka huu 2018 kupitia playlists zao na mixing zao nimeburudika vilivyo.
Na wewe mdau unayofursa ya kumtaja/kuwataja ma dj wako bora kabisa walioweza kuukonga moyo wako kupitia mixing na playlists zao kwa mwaka huu hapa.
Karibu sana: