Ma CEO wa mashirika ambao wangefaa kuwa Mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma CEO wa mashirika ambao wangefaa kuwa Mawaziri

Discussion in 'Jamii Photos' started by wimbi la mbele, Jul 7, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Je Kitilya wa TRA au Kimei wa CRDB au Mchechu wa NHC au Ali Mufuruki au Ami Mpungwe au yule bosi wa PPF wangefaa kuwa mawaziri?

  Je wizara zipi zingewafaa?
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  akishapewa uwaziri atakuwa fisadi
   
 3. Sibonike

  Sibonike JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 10,286
  Likes Received: 4,976
  Trophy Points: 280
  Andoa jina la Amy Mpungwe maana hujui unaongea nini inaelekea. Mipanago yote ya kuwakabidhi Tanzanite makaburu imepitia kwake!
   
 4. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sio mahali pake humu mkuu ipeleke kwenye siasa utapata wachangiaji kibao
   
 5. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jukwaa hili ni la Jamii Photos,Huu udaku uliotuwekea upeleke unakotakiwa! Kwanza bahati yako watukanaji wamepungua ungekoma!!
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kitilya na Kimei - wamejaza watu kutoka kanda ya kwao tra na crdb-hawafai
  Mchechu wa NHC kesha kuwa fisadi-dili la ununuzi wa nyumba kalipeleka benki alikokuwa ceo
  Ami mpungwe-is a full grown fisadi, uliza madili ya tanzanite
  PPF nako kwani kuna usalama?
   
Loading...