M4C..with no Apology!

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,112
241
MforC.jpg

Hapo Vipi?
 
Mkuu T-Shirt zake vipi hapo? Zinauhusika sana fanya mchakato wa T-shirt tuanze kuzitinga!! We warned 'em m4c with no apology......
 
Dah... 1MB.. Nahitaji M4C wallpaper ya simu yangu... Angalau 250kb...

Lazma wakae
 
Mkuu T-Shirt zake vipi hapo? Zinauhusika sana fanya mchakato wa T-shirt tuanze kuzitinga!! We warned 'em m4c with no apology......

Sijaanza kuchapa T-shirt, lakini unaweza kuipakua picha ukawapelekea wataaluma wakakuchapia. Magamba wakikutana na hii ni lazima wachanganyikiwe.:majani7:
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom