M4c - vita bado inaendelea - lema aichakaza chato ni jimbo la magufuli

Martin Jr

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
582
183
Jana Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini G lema na makamanda wengine wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika jimbo la Chato na kupokea wanachama na Makada muhimu wa CCM na wakati wanarejea safarini kurudi Mwanza gari lao liolizuiwa njiani pale Katoro na wananchi akiombwa kufanya mkutano hapo lakini alisema isengewezekana kwani kibali kilikuwa hakuna , hata hivyo makamanda leo wanaelekea ,Magu ambapo kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara "vua Gamba Vaa Gwanda"
 
Jana Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini G lema na makamanda wengine wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika jimbo la Chato na kupokea wanachama na Makada muhimu wa CCM na wakati wanarejea safarini kurudi Mwanza gari lao liolizuiwa njiani pale Katoro na wananchi akiombwa kufanya mkutano hapo lakini alisema isengewezekana kwani kibali kilikuwa hakuna , hata hivyo makamanda leo wanaelekea ,Magu ambapo kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara "vua Gamba Vaa Gwanda"
:ranger: kule kule kwa kila siku!!
 
Rejao hata mwenye kengeza hujifariji kuwa ana chongo. hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
" Kama tunafikiri tumehuzunika na hukumu dhidi yangu ya kuvuliwa ubunge , hekima na busara sio kukaa chini na kuanza kulia bali twendeni kwa hasira zetu tukawakomboe wengine na mateso ya ukandamizaji kama huu na sasa huu ni wakati wa kufanya siasa ya ukombozi nchi nzima bila kurudi nyuma , najua matokeo yake mnaweza msiyaone mapema lakini ukweli ni kwamba haki imekaribia kutwaa taifa hili , tutachoka sana lakini kuchoka kwetu kuna maana kubwa , wapo waliofurahi sana kwa sababu ya ushabiki hao wanahitaji huruma yenu na mafunzo kwani hawaioni kesho vizuri, lakini watambue kuwa sio lazima uwe Mbunge ili uweze kufanya siasa ya ukombozi , kama ambavyo Martin Luther , Malcom X na wengine hawakuwahi kuwa Wabunge ila walifanya kazi ya ukombozi wa Nchi zao , hata hivyo Arusha poleni sana . Lema ( maneno yake baada ya kuvuliwa ubunge)
 
Kule kugumu, wanapenda sehemu laini laini.....umewahi ona wapi mchaga anayependa shida??

Absolutely....
Siku nyingine una akili wewe??
Ni kweli hatupendi shida ndio maana pia hatuipendi CCM inayoendelea kutupa shida watanzania. Hao Wagumu wanapenda shida, wanaendekeza shida wanaishi kwenye shida lakini HAWANA SHIDA...Ndio maana tangu nakua naisikia barara bara ya Kibiti Lindi Miongoyo then nakaribia kuzeeka bado hakija eleweka. Wavue gamba wanalokumbatia walau kwa miaka mitano tuone kama shida hazitapungua...Sipendi shida ndio maana sipendi anayeniletea shida!! ndio maana nimevua gamba nivae gwanda....Upo??



 
hili neno
" Aliyekuwa Mbunge wa
Arusha Mjini G lema" nina tatizo nalo sana wakati mpaka sasa hakuna mbadala wake!,bado ni mbunge wangu bana!
 
Martin ,nimesoma tanzania daima kuwa kuna wabunge na mawaziri walitajwa na mbunge wetu mh Lema wanataka kuvaa gwanda ni akina nani hao mkuu?
 
:ranger: kule kule kwa kila siku!!

sehemu muhimu zote inabidi zishikwe kikamilifu. wapiga kura wa chato tu wanaweza kulingana na wapiga kura wa zanzibar nzima. sehemu zenye watu wengi inabidi tupashikilie ili tupate kura za kutosha 2015.
Kanda ya ziwa yote, Mbeya, Arusha, songea na iringa ndo penye kura za ushindi. sehemu zilizo baki ni zakujazia kura tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom