M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.
Huo ni uwekezaji. Watoto ni wapigakura wa kesho. Kumbuka pia kwamba Bunda ni mji mdogo sana, kupata umati kama huo inatisha
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

Hivi ile operesheni ya kusaka wahamiaji haramu iliishia wapi?
Tukisema kwamba ccm ndio wanaowafuga nyie wahamihaji haramu tutakuwa tunakosea? Wewe endelea hivyo hivyo kuisapo ccm maana wakiingia wapinzani ni lazima wakusake na wakurudishe kwenu, haramu wee!!!
 
cdm.jpg
Hii ndio CHADEMA.
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

Tehe!
Kwani "watoto" siyo watanzania?!
Hawastahili kujua kwa nini wao na wazazi wao ni maskini?!
Kushangaa mara moja, sasa kwa nini wao hawaondoki hadi mkutano ufungwe?!
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

Hata kuandika hujui

Mtaji wa CCM ni watu kama nyie!Maandishi yako tu yanaeleza level yako ya uelewo!
 
ccm mpo nilisema mimi hapa jamvini kuwa wabunge wengi wa CCM mwaka 2010 walibebwa na tume ya uchaguzi na wasaliti wachache maana hata bunda wassira hakushinda na hakuna lolote la maana ambalo alilifanya wassira bunda mpaka watu wampende bunda hakuna maji bunda hakuna miundombinu kwenye masoko bunda shule hazina madawati bunda hospitali ya serikali haina waataalamu wala madawa watu wote wanatibiwa DDH hospitali ya shirika la dini sasa wanachi waipendee nini CCM?
 
Mumejaza watoto wa shule, watu wazma wamekuja kumushangaa padri alievunja agano lake na Mungu maana walikuwa wanamusikia tu.

Mkuu kajifunze kuandike kuandike kwanza au ndio division 5 ya maccm huyo?
 
Wamekiri CHADEMA ndio kila kitu mafisadi yote yanatamani kuomba usajili waingie CHADEMA na bado amani imewatoweka kuhusu 2015 watakwenda wapi na nchi washaiona iko mikononi mwa WAZALENDO CHADEMA. HONGERENI WATANZANIA KWA KUJITAMBUA!!!!!!
 
kilichonifurahisha ni kuwa huku akina mama ni wengi kuliko wananume, ukombozi umefika
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom