M4C-OPD: Ndani ya Manispaa ya Bukoba - Jan 26, 2014

sixgates atakuwa alitaka kuandika upuuzi wake kuhusu uwasilishwaji wa habari..... roho inamuuma sana

Mkuu hawa watu wamechanganyikiwa,si unaona wengine wanaibuka humu mkekani na hoja za udini na nyingine ziso mashiko utadhani yakiibuka machafuko wao watabaki salama.,Wanadhani ccm inaweza wachagulia(waamulia) watanzania nani ama chama gani kishike hatamu!!!Mh,lakini kiukweli waliodata zaidi ni hawa waliotoka kambini na kwenda ugambani kama huyu mageti sita.
 
Last edited by a moderator:
chadema haiwezi kushinda ubunge bukoba. cuf na ccm ndio wana nafasi ya kushinda ubunge. laana ya ubaguz inawatafuna sana chadema

Nimekuuliza swali simple tu lakini umeshindwa kulijibu na ukajibu vitu ambavyo Mimi sijakuuliza! Sasa sijui tatizo liko wapi. Pili hiyo dhambi ya udini kabla haijaanza kuitafuna Chadema, itaanza kukutafuna wewe maana unapandikiza udini sehemu ambayo wenyeji wake sio waumini wa udini.
 
Hahahahaha wapi wapi Mr facebuk aka dear wa ujeruman? Atakuwa anashughulikia mgao wa vjana Mpesa na tigo pesa!!! Hakuna msaliti yeyote dunian amewah ku-reach destiny yenye maana!!!
 
Nimekuuliza swali simple tu lakini umeshindwa kulijibu na ukajibu vitu ambavyo Mimi sijakuuliza! Sasa sijui tatizo liko wapi. Pili hiyo dhambi ya udini kabla haijaanza kuitafuna Chadema, itaanza kukutafuna wewe maana unapandikiza udini sehemu ambayo wenyeji wake sio waumini wa udini.

wewe unafikiri kwanini wamemtumia mohamed saidi bukoba na sio maeneo mengine? hiyo inamaanisha nini?
 
wakuu,

nadhani tokea hii operation ianze kadiri siku zinavyokweda watu wanazidi kuielewa chadema kuwa kipo kwa ajili ya watanzania wote, huu umati wa bukoba kwakweli ni funika haijawahi kutokea bukoba tokea mfumo wa vyama vingi uanze.

Ukweli ni kwamba hiki ni kiashiria kwamba watanzania wamechoka na utawala uliopo, hebu angalieni hizi picha hapa chini.
Katika mkutano wa leo kilichowaacha wananchi midomo wazi ni pale mbunge wa arusha mjini mh. Godbless lema aliposema kwamba "kikwete ni rais wa kwanza nchi hii kwenda ulaya kuomba kunde, huku kaacha dhahabu na almasi bongo".

View attachment 134859
umati wa watu ukishuhudia wakati helcopter ikitua
View attachment 134860
picha zote kwa hisani ya mtu wa tanganyika .......... Peopleeeeezzzzzzz!!!!!

kamanda, huu unaitwa utitiri wa watu !
 
kwa hali jinsi ilivyo na inavyoonekana watanzania ni zaidi ya ile ml 45 tuliyoambiwa .
 
Hivi unasoma na kuelewa unachoulizwa au unajibu bila kusoma kilichoandika? hebu pitia huu uzi uone unachojibu kama kinalingana na ulichoulizwa. Si ajabu ninajibizana na robot maana robot linajibu kutokana na jinsi walivyoliset..

[QUOTE=abakorakamo;8514112]bukoba unaijua wewe?tuulize sisi wazawa...! hivi ni kwa nini lwakatare alivyogombea cuf akashinda ubunge.alivyohamia chadema akashindwa ubunge? watu wa bukoba ni wasomi huwezi kuwadanganya..bukoba tunajua chadema haiwapendi waislamu hata leo hii chadema ikisimamisha mgombea ubunge muislamu hawezi kushinda kwa sababu tu chama kimeonyesha mwelekeo wa ubaguzi...jitambue ndugu[/QUOTE]

Nilikuuliza hivi?
[QUOTE=Alinda;8514185]Lol Peleka udini wako CCM.. Nuruga Bukoba Kyaro ki? Na je aliyeshinda ni Mbunge kutoka chama gani?[/QUOTE]

na ukajibu hivi:
[QUOTE=abakorakamo;8514343]chadema haiwezi kushinda ubunge bukoba. cuf na ccm ndio wana nafasi ya kushinda ubunge. laana ya ubaguz inawatafuna sana chadema[/QUOTE]
Nikauliza tena hivi:
Nimekuuliza swali simple tu lakini umeshindwa kulijibu na ukajibu vitu ambavyo Mimi sijakuuliza! Sasa sijui tatizo liko wapi. Pili hiyo dhambi ya udini kabla haijaanza kuitafuna Chadema, itaanza kukutafuna wewe maana unapandikiza udini sehemu ambayo wenyeji wake sio waumini wa udini.[/QUOTE
]

na wewe ukajibu hivi:
wewe unafikiri kwanini wamemtumia mohamed saidi bukoba na sio maeneo mengine? hiyo inamaanisha nini?

Swali tena,Kwa maana hiyo Said hawezi kwenda maeneo mengine kwa vile hakuna waislamu?? na kama wapo mbona hakwenda hayo maeneo mengine yenye waislamu?
 
Linganisha na kampeni za uchaguzi mkuu uliyopita ndiyo utaelewa namaanisha nini.
 
Hivi unasoma na kuelewa unachoulizwa au unajibu bila kusoma kilichoandika? hebu pitia huu uzi uone unachojibu kama kinalingana na ulichoulizwa. Si ajabu ninajibizana na robot maana robot linajibu kutokana na jinsi walivyoliset..

[QUOTE=abakorakamo;8514112]bukoba unaijua wewe?tuulize sisi wazawa...! hivi ni kwa nini lwakatare alivyogombea cuf akashinda ubunge.alivyohamia chadema akashindwa ubunge? watu wa bukoba ni wasomi huwezi kuwadanganya..bukoba tunajua chadema haiwapendi waislamu hata leo hii chadema ikisimamisha mgombea ubunge muislamu hawezi kushinda kwa sababu tu chama kimeonyesha mwelekeo wa ubaguzi...jitambue ndugu

Nilikuuliza hivi?
[QUOTE=Alinda;8514185]Lol Peleka udini wako CCM.. Nuruga Bukoba Kyaro ki? Na je aliyeshinda ni Mbunge kutoka chama gani?[/QUOTE]

na ukajibu hivi:
[QUOTE=abakorakamo;8514343]chadema haiwezi kushinda ubunge bukoba. cuf na ccm ndio wana nafasi ya kushinda ubunge. laana ya ubaguz inawatafuna sana chadema[/QUOTE]
Nikauliza tena hivi:
Nimekuuliza swali simple tu lakini umeshindwa kulijibu na ukajibu vitu ambavyo Mimi sijakuuliza! Sasa sijui tatizo liko wapi. Pili hiyo dhambi ya udini kabla haijaanza kuitafuna Chadema, itaanza kukutafuna wewe maana unapandikiza udini sehemu ambayo wenyeji wake sio waumini wa udini.[/QUOTE
]

na wewe ukajibu hivi:

Swali tena,Kwa maana hiyo Said hawezi kwenda maeneo mengine kwa vile hakuna waislamu?? na kama wapo mbona hakwenda hayo maeneo mengine yenye waislamu?

wewe ndio unamatatizo si ajabu uliugua kichaa.mimi nimekuuliza swali na wewe badala ya kujibu unauliza tena swali. nakuuliza hivi, chadema inafanya operation nchi nzima sasa hivi, sasa kwanini saidi hajaenda maeneo mengine amekuja bukoba tu? hivi unafikiri yuko bukoba kwa bahati mbaya? chadema wana lao ndio maana saidi yuko bukoba. ni kwanini amezungumzia mambo ya dini kwenye mkutano?unafikiri ilikuwa bahati mbaya
 
Hivi unasoma na kuelewa unachoulizwa au unajibu bila kusoma kilichoandika? hebu pitia huu uzi uone unachojibu kama kinalingana na ulichoulizwa. Si ajabu ninajibizana na robot maana robot linajibu kutokana na jinsi walivyoliset..

[QUOTE=abakorakamo;8514112]bukoba unaijua wewe?tuulize sisi wazawa...! hivi ni kwa nini lwakatare alivyogombea cuf akashinda ubunge.alivyohamia chadema akashindwa ubunge? watu wa bukoba ni wasomi huwezi kuwadanganya..bukoba tunajua chadema haiwapendi waislamu hata leo hii chadema ikisimamisha mgombea ubunge muislamu hawezi kushinda kwa sababu tu chama kimeonyesha mwelekeo wa ubaguzi...jitambue ndugu

Nilikuuliza hivi?
[QUOTE=Alinda;8514185]Lol Peleka udini wako CCM.. Nuruga Bukoba Kyaro ki? Na je aliyeshinda ni Mbunge kutoka chama gani?[/QUOTE]

na ukajibu hivi:
[QUOTE=abakorakamo;8514343]chadema haiwezi kushinda ubunge bukoba. cuf na ccm ndio wana nafasi ya kushinda ubunge. laana ya ubaguz inawatafuna sana chadema[/QUOTE]
Nikauliza tena hivi:
Nimekuuliza swali simple tu lakini umeshindwa kulijibu na ukajibu vitu ambavyo Mimi sijakuuliza! Sasa sijui tatizo liko wapi. Pili hiyo dhambi ya udini kabla haijaanza kuitafuna Chadema, itaanza kukutafuna wewe maana unapandikiza udini sehemu ambayo wenyeji wake sio waumini wa udini.[/QUOTE
]

na wewe ukajibu hivi:

Swali tena,Kwa maana hiyo Said hawezi kwenda maeneo mengine kwa vile hakuna waislamu?? na kama wapo mbona hakwenda hayo maeneo mengine yenye waislamu?

wewe ndio unamatatizo si ajabu uliugua kichaa.mimi nimekuuliza swali na wewe badala ya kujibu unauliza tena swali. nakuuliza hivi, chadema inafanya operation nchi nzima sasa hivi, sasa kwanini saidi hajaenda maeneo mengine amekuja bukoba tu? hivi unafikiri yuko bukoba kwa bahati mbaya? chadema wana lao ndio maana saidi yuko bukoba. ni kwanini amezungumzia mambo ya dini kwenye mkutano?unafikiri ilikuwa bahati mbaya?
 
28.jpg

Mwanzo wa Harakati za M4C- PAMOJA DAIMA Mjini Bukoba

[video]http://www.hulkshare.com/bukobawada/godbless-lema-mjini-bukoba-jan-leo-jan-26-2014[/video]

32.jpg

Taswira ya Wakazi wa BUKOBA wakimsikiliza MB. LEMA Kwenye Uwanja wa UHURU Uswahilini

38.jpg

30.jpg

31.jpg

10.jpg

Mh. Mbowe akihutubia Mkutano huo huko BUKOBA

4.jpg

5.jpg

14.jpg

15.jpg

16.jpg

12.jpg
 
Utamu utamu..rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!! Chadema juuuuuu!!!!!!!!!!!!!hakika ukombozi unakaribia
 
Back
Top Bottom