M4C - OPD kiboko: Kikwete asalimu amri

Ccm wana hali mbaya sana wanamfikiria lowassa wakati huwo huo cdm washachanganyikiwa hawajuwi la kufanya kabidhini nchi sasa mmekuwa mzigo hata wenyewe kwa wenyewe

kibo10 ha ha haaa......
 
Ameogopa kukutana na Kagame

index.jpg Kakwepa kupiga picha kama hii hapa
 
safari za nje ni garama sana
tunakpa sana wakati tuna madini ya kila aina, utalii na gas
tungeiga wenzetu wanaotegemea vyanzo hivo vya uchumi kukuza uchumi wao tusingekopa kiasi hicho.
tatizo ufisaidi uliokubuhu na marumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.
JK boraachukue maamuzi magumu waunde mseto,wampe Lipumba wizara ya fedha na uchumi.
DR Slaa awe waziri mkuu, wale mawaziri vimeo wote watoke tubakie na mawaziri 15 wanatosha
katiba hiyo inaweza kufanyiwa marekebisho ya muda haya yote yakafanyika
JK alisema ATAISHANGAZA DUNIA HEBU AFANYE HAYO NLOSEMA.
 
Katika kile kinachoonekana ni hofu ya Operesheni ya CHADEMA nchi nzima almaarufu kama M4C-OPD ambayo pamoja na mambo mengine imekua ikimnanga raisi kikwte na vijisafari vyake vya nje visivyokuwa na tija na zaidi kuisukuma serikali ifanye maboresho ya daftari la kupiga kura, Rais Kikwete ameamua kuukacha mkutano wa viongozi wa Afrika mjini Adis na kutulia nyumbani .

M4C - OPD imemfanya Kikwte atambue kuwa ana waziri wa mambo ya nje na hivyo kuamua amuwakilishe kwani huko nyuma raisi huyu alikua akihudhuria mikitano hata hata kama ni ya mabonanza.


Zaidi, baada ya kushindwa kuhimili kishindo cha M4C-OPD teyari serikali kupitia tume ya uchaguzi imetangaza kufanya maboresho ya daftari la kudumu la kupiga kura kabla ya kuanza kwa kura ya maoni ya katiba mpya. Ajenda mojawapo na kubwa ya M4C -OPD ni kuishinikiza serikali kufanya maboresho ya daftari la kudumu la mpiga kura tofauti na hapo hakitaeleweka.

M4C-OPD mpaka kieleweke.

Aminia kamanda,...CDM inatisha, ni mkono wa Ukombozi, 'Mkono wa Mungu' kwa Watanzania waliokwishataka kufunguka macho...! Na yeyote anayelishika 'vazi' la CDM au hata kuwasikiliza tu, anafunguka, kiakili, kifikra na matumaini mapya yanamjaa ('vazi' la CDM = sera, card, gwanda, nk) Tunawaonea huruma sana VIJANA walioko bado CCM ...wakati utakuja wanajikuta kuwa vijana wa kitanzania walishavushwa 'bahari ya Sham', na wa-Magamba wamebaki wao wenyewe upande wa Misri, kwa Ma-Firauni (pharaohs) - yaani ndani ya CCM, upande wa wafu wa kisiasa, kufilisika na kufa kifikra, ujangili na wizi wa rasilimali za umma..!
 
Back
Top Bottom