M4C ni noma, Wilaya moja tu wanachama zaidi ya buku 3 wamevua GAMBA

Mungu tunayemwamini hashidwi,ndio maana wanaotaka kutubambika sera ya ukanda na udini wanakuwa kama ndio wanazidisha idadi ya watu kuungana na cdm.m4c ni kama moto wa gas!
 
Ujue ndani ya CDM kuna Makamanda na WAALIMU bora, wazuri wenye kuonyesha njia ya matumaini. Mtu anayeelimika ni SHARTI abadilike saa hiyo hiyo, Kuiacha njia ya kuzimu na kuelekea NJIA SAHIHI inayomfikisha kwenye mabadiliko endelevu.
 
MKUU UMENIKUMBUSHA LOYOLA WAKATI WA KULINDA KURA RAIA WALISIMAMA KIDETE KULINDA KURA ZA MNYIKA BOSI BOSI WA POLISI AKAWAMKALI SANA WATU WASISOGEE PALE NA WALE POLISI WA KAWAIDA WAKAWA WAKALI SANA ILI KUMFURAHISHA BOSI WAO WA MAGAMBA ILA AKIONDOKA WAKAWA WANAWAMBIA WANAANCHI MSILALE WANAIBA KURA WANANCHI WANACHACHAMAA ILA BOSI AKIRUDI TENA WANAMPIGA MCHANGA WANAJIFANYA TENA KUTIMUA RAIA KWA NGUVU BOSI ANAONA SAFI AKITOKA MCHEZO ULEULE WANAWAAMBIA RAIA WANAIBA KURAMSIKUBALI YAANI KAMA MAIGIZO VILE
:second:
 
Back
Top Bottom