M4C,Katibu wa CUF Wilaya Mh. Dominick Ng'honela Bubeshi AVAA GWANDA LA CDM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C,Katibu wa CUF Wilaya Mh. Dominick Ng'honela Bubeshi AVAA GWANDA LA CDM!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 21, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Katika harakati inayojulikana hv M4C ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo inayoongozwa na Kamanda G. Lema imendelea kuwarudishia matumaini wanainchi waliopoteza matumaini na chama tawala.

  Harakati hiyo ya ukombozi inayoendelea ktk Wilaya ya Magu Mh. G Lema imeendelea kuwakusanya maelfu ya Wanainchi wengi sana na ndipo Katibu wa Wilaya kwa chama cha Wanainchi CUF Mh. Dominick Ng'honela Bubeshi kuvua gamba na kuvaa gwanda la chama cha CDM.

  Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakika wamepata jembe lingine kali sana,Magu CHADEMA inasonga mbele hakuna wa kuzuia mabadiliko hakika kuzaliwa mtoto huwezi kuzuia na hiyo ni kauli ya Manyanza Stanslaus,Mwasisi wa CHADEMA!


  Viva CDM!

  Source: Mi mwenyewe!
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hakika ukombozi umekaribia
   
 3. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama na magu imefikia hapo, 2015 hakuna wa kuizuia chadema. Viva makamanda.
   
 4. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  njooni nzega kijiji cha mzibaziba
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Born 1977 Die 2015 bai bai ccm,mgonjwa kagoma kunywa dawa what next.............
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Viva prophet lema, viva CDM
   
 7. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  next is to go to hell
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mapambano kwa kasi ya ajabu. Yaani speed 500 kwa saa.
   
 9. V

  Vunjavunja Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndo cdm chama chenye matumaini kwa watanzania.
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Labda akabadili blad kama afanyavyo mkuu wao...
   
 11. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yaani hili chama langu cdm linanifariji sana
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Yani kwa mahudhurio ya wanainchi ktk mikutano ya hadhara hakika jamani UKOMBOZI upo wazi kwa 100%

  ccm itabakia ilikuwepo!
  Kudadekiiiiiiiiiiii!!
   
 13. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Big up makamanda!!!!
   
 14. K

  Kichuli JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 320
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makamanda njooni busega jimbo liko wazi na mtavuna wanachama wengi sana huku watu wameisha kata tamaa na chama cha magamba ushihidi ni uchaguzi ndani ya chama chao wananchi wamegoma kuchukua fomu ili wagombee uongozi ndani ya chama cha magamba hasa kata ya lamad hivyo tunaomba makanda fikineni busega msaidie wananchi wananchi wanao angamia kwa uroho wa mafisadi:lol:
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kichuli!

  Hawa mafisadi mwisho wao umefika hakika!

  Hapo Busega tutavamia mpk mafisadi wafiche nyuzo zao wenyewe!

  Piga kimya Kamanda utaona hao mafisadi watakavyopukutishwa hapo Busega!

  M4C,haitawabakiza hata mmoja!
   
Loading...