M4C Hanang: OPERATION tokomeza CCM HANANG yakamilika kwa mafanikio makubwa!

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Oct 8, 2007
2,731
749
Wiki moja ya operation tokomeza CCM hanang imekamilika jana, CCM iko hoi bin taabani! Najaribu kutupia picha hapa hali ilivyokuwa! Tulipofikia CHADEMA wananchi hawahitaji majina makubwa tena, wanahitaji ujumbe wa mabadiliko tu wa CHADEMA!
 

Attachments

  • 302808_195572340579774_1785646341_n.jpeg
    302808_195572340579774_1785646341_n.jpeg
    111.8 KB · Views: 539
  • 189649_195572763913065_681764653_n.jpeg
    189649_195572763913065_681764653_n.jpeg
    94.2 KB · Views: 461
  • 600040_195569750580033_485209178_n.jpeg
    600040_195569750580033_485209178_n.jpeg
    108.8 KB · Views: 423
  • 305518_195569607246714_2118149359_n.jpeg
    305518_195569607246714_2118149359_n.jpeg
    106.4 KB · Views: 391
  • 526343_195130073957334_1151028970_n.jpeg
    526343_195130073957334_1151028970_n.jpeg
    97.4 KB · Views: 448
Subirini Dr. Nagu akija huko ataihuisha CCM. Maana kama kale ni manju wa kuongea lugha zote za makabila ya
Hanang.
 
Curriculam specialist nashukuru kwa kupost ila hii habari kidogo iko very shallow please ongeza nyama toa tathmini ya mafanikio ya operation Hanang
 
Haya ni moja ya majembe ya CHADEMA yanayoinyima CCM usingizi!
 

Attachments

  • 522247_195127597290915_458856215_n.jpeg
    522247_195127597290915_458856215_n.jpeg
    97.8 KB · Views: 1,500
  • 558825_195128100624198_1303058120_n.jpeg
    558825_195128100624198_1303058120_n.jpeg
    106.3 KB · Views: 1,708
naona kamili anataka jimbo! well done ila ache kutumiwa kama....:doh:
 
Nasikia alienda kugawa bia aliposikia M4C inaenda kunyuka pale....sasa hivi aende na whisky kabisa raia wanywe wafaidi ila magamba NOOOOOO
 
Subirini Dr. Nagu akija huko ataihuisha CCM. Maana kama kale ni manju wa kuongea lugha zote za makabila ya
Hanang.

Kwani wananchi wa hanang watashibishwa kwa Dr fake NAGU kuongea Kibarbaig au Iiraqw'da? HAWADANGANYIKI
 
Curriculam specialist nashukuru kwa kupost ila hii habari kidogo iko very shallow please ongeza nyama toa tathmini ya mafanikio ya operation Hanang
LOMAYANN picha moja inaongea zaidi ya maneno elfu moja, nafikiri hii lugha ya picha inafahamika sana humu JF ningekuja na maneno matupu hapa nisingeeleweka!
 
Last edited by a moderator:
Big up makamanda! Wanachama na wanachi kwa ujumla 2015 kura CDM ila muwe mmejiandikisha kupiga kura!
 
Apolonary sisi hatuna hela za kuhonga vyombo vya habari au kuwasafirisha wakafanye coverage ya shughuli zetu, wenyewe tunaenda kupiga kazi kwa kujitolea na kujichangisha, that is our spirit![ good lakini msiegeme upande mmoja tu kana kwamba wale wengne hawahitaji mabadiliko muende na huko vijijin zaid
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Gwanda za cahdema zimekaa poa sana, unaweza kutinga sehemu yoyte kwenye starehe ana watu waka ku koma, ebu jaribu kuf=vaa gamba la CCM uingie nalo Disco, lazima watu wajue umedata, Chadema wako makini kuanzi kichwani mpaka mavazi
 
Kwenye mkutano wa kuhitimisha OPERATION YA M4C TOKOMEZA CCM HANANG, KAMANDA GODBLESS LEMA ALIKUWEPO KUWAPA SUPPORT VIJANA WAKE! BY THE WAY OPERATION ILIONGOZWA NA MAKAMANDA WA KAWAIDA TOKA ARUSHA MJINI! Wote wanaendelea kulelewa na KAMANDA LEMA!
 

Attachments

  • 18110_196081377195537_1348279221_n.jpeg
    18110_196081377195537_1348279221_n.jpeg
    102.1 KB · Views: 215
  • 430642_196081450528863_285141450_n.jpeg
    430642_196081450528863_285141450_n.jpeg
    80.5 KB · Views: 221
  • 602422_196081473862194_1914410252_n.jpeg
    602422_196081473862194_1914410252_n.jpeg
    90.4 KB · Views: 207
  • 306715_196081413862200_732451180_n.jpeg
    306715_196081413862200_732451180_n.jpeg
    110.6 KB · Views: 199
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom