M4C Hanang: OPERATION tokomeza CCM HANANG yakamilika kwa mafanikio makubwa!

Wiki moja ya operation tokomeza CCM hanang imekamilika jana, CCM iko hoi bin taabani! Najaribu kutupia picha hapa hali ilivyokuwa! Tulipofikia CHADEMA wananchi hawahitaji majina makubwa tena, wanahitaji ujumbe wa mabadiliko tu wa CHADEMA!
Sasa kipi kikubwa mlichofanya au unatafuta umaarufu!
 
Kwenye mkutano wa kuhitimisha OPERATION YA M4C TOKOMEZA CCM HANANG, KAMANDA GODBLESS LEMA ALIKUWEPO KUWAPA SUPPORT VIJANA WAKE! BY THE WAY OPERATION ILIONGOZWA NA MAKAMANDA WA KAWAIDA TOKA ARUSHA MJINI! Wote wanaendelea kulelewa na KAMANDA LEMA!
Onyo na usirudie tena CDM haina matabaka ya makamanda, hayo ni mambo ya CCM. Pole kama nimekukwaza.
 
Back
Top Bottom