M4C Hanang: OPERATION tokomeza CCM HANANG yakamilika kwa mafanikio makubwa!

haya ndo mambo muhimu yanapendeza kuyasikia na kuyaona si ujinga wa kitoto eti Heche haelewani na makamu wake
Wiki moja ya
operation tokomeza CCM hanang imekamilika jana, CCM iko hoi bin taabani!
Najaribu kutupia picha hapa hali ilivyokuwa! Tulipofikia CHADEMA
wananchi hawahitaji majina makubwa tena, wanahitaji ujumbe wa mabadiliko
tu wa CHADEMA!
 
Curriculam specialist nashukuru kwa kupost ila hii habari kidogo iko very shallow please ongeza nyama toa tathmini ya mafanikio ya operation Hanang
picha inajieleza, maelezo ya muhimu umepewa kuwa hapo ni hanang, tatizo umezoea blaa blaa wewe usizoee kutafuniwa maneno
 
mkuu vipi polis ccm hawaja lusha vitu vyenye ncha kali toka upande mwingine? all in all big up makamanda.
 
JK amewaambia CCM wasiendelee kutumia polisi kuzima M4C, kama alivyokuwa amewaamuru mwanzoni.
 
CHADEMA wajitahidi kuuza mavazi pia katika mikutano yao kwani wanachama/washabiki wanayatamani sana.
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
CCM KWELI MABWEGE SANA, UYU MH. LEMA HAWAKUPASWA KUMTOA BUNGENI JAMANI MBONA SASA ANAKIBOMOA SANA CCM? CCM KWELI WANA HATARI, WATAFUTIKA KABISA KT BAADHI YA MAENEo
 
Cdm wasikae ofisini,wagawane tanzania katika makundi ili kuharakisha ukombozi wa taifa letu! Sisi watu wa kusini tunawasubiri kwa hamu! All the best!
 
Back
Top Bottom