M4c - arusha: Live - join the chain event - from snow crest hotel

Songeni mbele makamanda bila Arusha imara hakutakuwa na chadema imara! Nyie ndo walezi wa chadema na hiyo ndo base ya ukombozi wa Taifa letu! Ni lazima watu wa Arusha mkubali kutumia gharama zenu kuwavuta na wengine wafuate upepo wa mabadliko! Nimefurahishwa na kauli mbiu ya M4C yenu! Once again ninawatia moyo na Mungu ni mwaminifu atafanya!
arusha ni mwanzo mwisho katika ukombozi wa taifa hili
 

Mkuu pata hata mda wa kula ''kitimoto'' basi siku kama hizi za wikend. maana hata napofungua threads tatu kwa mpigo nakuta zote una-browse kwa mpigo, hata ujira wa NAPE unaopata unapata tym ya kuutumia kweli

Huyu jamaa ni Noma, Ila sijui kama Nape anamplipia NSSF, na jamaa si dhana kama ana mke, make mke wake ni Komputer,
 
msemaji wa kwanza anashika mic kwa jina anajulikana kwa jina la Emma. anasema tatizo kubwa kwa watanzania ni hofu kwanini anasema ni tatizo kubwa anasema ukiwa na hofu inakufanya usijiamini anawaomba watanzania tupigane na mtu huyu hofu..
 
anasema hofu ni kutokujua haki, ni uogaanasema hakuna umasikini mkubwa kama hofu..
 
Mkuu yegella ni nani mgeni Rasmi? Kwa sababu viongozi wengi wapo kwenye kikao Kamati Kuu Dar

mkutano huu ni wawana arusha na viongozi wa arusha naona yuko katibu chadema mkoa Arusha, yuko lema, nasari, nanyaro, mawazo, ole millya na madiwani wa arusha..
 
Last edited by a moderator:
Wafanya kwa ajili ya nini? Hii M4C inatakiwa isitishwe hadi mambo fulani yatengenezwe.

Arusha inafanyika fundrising kwa ajili ya kuendeleza chama Arusha we unang'ang'ia tu M4C isitishwe mzee Mwanakijiji vip yaani wewe kila siku unang'ang'ana tu kukosoa sana Viongozi wa CDM mi nikuulize wewe umelifanyia nini hili taifa maana mtu kukaa kwenye keyboard ni rahisi sana kuandika na pengine kusema lakini wewe binafsi umefanya nini tujifunze kwako?
 
anawaambia wanawake kuwa thamani ya mwanamke ni nini ameifanyia jamii na siyo gari analoendesha..
 
principle of nature:
wanaume wote mnaowaona wote wamelala kwenye tumbo la mwanamke.
mwanamke anathamani kubwa sana.
kiumbe pekee mwenye kuinua human race ni mwanamke.
wanawake hawatambui thamani zao, wamejishusha.
 
anawaambia wanawake kuwa thamani ya mwanamke ni nini ameifanyia jamii na siyo gari analoendesha..
 
mkutano huu ni wawana arusha na viongozi wa arusha naona yuko katibu chadema mkoa Arusha, yuko lema, nasari, nanyaro, mawazo, ole millya na madiwani wa arusha..

Asante mkuu yegella nimeelewa.
 
Last edited by a moderator:

.....Safi sana makamanda nawaona
wanafiki roho...zinawauma...kwetu..hatuongozwi.... na.... MAJANGILI...pelekeni...maoni yenu lumumba...nga stuka stuka na wanafiki!!!!
 
kamanda Lema:


mawazo ameenda busanda amefanya kazi kubwa sana katika harakati za ukombozi wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom