arusha ni mwanzo mwisho katika ukombozi wa taifa hiliSongeni mbele makamanda bila Arusha imara hakutakuwa na chadema imara! Nyie ndo walezi wa chadema na hiyo ndo base ya ukombozi wa Taifa letu! Ni lazima watu wa Arusha mkubali kutumia gharama zenu kuwavuta na wengine wafuate upepo wa mabadliko! Nimefurahishwa na kauli mbiu ya M4C yenu! Once again ninawatia moyo na Mungu ni mwaminifu atafanya!
Mkuu pata hata mda wa kula ''kitimoto'' basi siku kama hizi za wikend. maana hata napofungua threads tatu kwa mpigo nakuta zote una-browse kwa mpigo, hata ujira wa NAPE unaopata unapata tym ya kuutumia kweli
Picha tafadhali...
ndiyo kwanza wana tambulishwa viongozi mbalimbali..
Kwa kifupi ndo hivyo, hata ITV some time hufanya kazi kwa maelekezo ya Magamba,
Mkuu yegella ni nani mgeni Rasmi? Kwa sababu viongozi wengi wapo kwenye kikao Kamati Kuu Dar
Wafanya kwa ajili ya nini? Hii M4C inatakiwa isitishwe hadi mambo fulani yatengenezwe.
mkutano huu ni wawana arusha na viongozi wa arusha naona yuko katibu chadema mkoa Arusha, yuko lema, nasari, nanyaro, mawazo, ole millya na madiwani wa arusha..