M2 kuongea na wanahabari kesho Nov 27, 2013

Status
Not open for further replies.
mulishayasema haya tuliyasikia zamani za kale mengine lete musaliti zitto laki mbili zipate kwa mara ya mwisho ndani ya siku kumi na nne huna kitu nenda kwenu kalime

Musaliti ndio nini? Wanafiki wakubwa mnajifanya wapinga ufisadi na watetez wa Demokrasia halafu mnashindwa hata ku practice walau kwa Majaribio ngaz ya Chama, Mungu ni Mwema sana kuwanyima Mamlaka 2010, Tambueni Mungu aliewanyima Power 2010 ndio huyohuyo wa 2015 ataewanyima tena!
 
Peleka uwongo huko, M2 humjui, unaleta taarifa za kwenye pombe za kienyeji humu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Walai mwaka huu ni mtamu sana, itajulikana maharage na mawe ni yapi,, ila kazi kubwa iliyo mbele yetu yenye kuitaji baraka za wanachama wa cdm ni kumng'oa zzk, ili aende ccm kwa viboko, cyo ombi ni lazima,, eti juzi ajipambanua cjui uwamuzi mgumu mara sitoki chadema, mara sijawatonya, ujinga mtupu kbc empty mind kbc, lait angejua angesoma alama za nyakati.
 
Salaam tena wakuu.
Baada ya uzi wangu wa jana usiku kufutwa kwa sababu ambazo sikujulishwa, asubuhi hii nimeamka na kuamua kufuatilia tetesi za jana.

Ni kweli kwamba mtu alituhumiwa na kutajwa kama MM2 na kamati kuu ya CHADEMA, ameamua kujitokeza na kuzungumza na wanahabari.
Mkutano huo na wanahabari ambao awali ulikua ufanyike Ubungo Plaza saa nne asubuhi, hivi sasa umehamishwa na utafanyika Travetine Hotel - Magomeni kuanzia saa tano na nusu asubuhi.

Kulingana na chanzo changu cha habari, MM2 asingependa atajwe mapema mapema kwenye mitandao kwa sababu za kiusalama ila ni kweli kwamba atazungumza na Wanahabari leo.

Mada atakazozigusa ni pamoja na ukweli kumhusu yeye, msimamo wake na wa kikundi chake dhidi ya wanaoitwa Wahafidhina na mikakati yake na kikundi chake pamoja na harakati watakazofanya mikoani katika kile wanachokiita demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA.
Nitaendelea kuwaupdate juu ya kinachoendelea.

NB: Mod sio mbaya nikapata taarifa ya sababu ya kufuta uzi wa jana. Thanks in advance.
 
Na huu tunaufuta, haujitoshelezi..

Kwa hisani ya Baba V
 
Last edited by a moderator:
Nawe unamficha wa nini, unawaweka watu roho juu juu kisa kutaka kumjua mtu ambaye wewe member ushamjua, nyinyi mkipewa madaraka hamkawii kuwaambia watu "kama umeme ni ghali washa kibatari"

....you dare to talk openly dont you?
 
Kwanza hakuna MM2 kuna M2.Pili hao waandishi amewaalika saa ngapi kama hataki kujulikana?
Yaani waandishi wajue JF isijue? Porojo!
 
Nawe unamficha wa nini, unawaweka watu roho juu juu kisa kutaka kumjua mtu ambaye wewe member ushamjua, nyinyi mkipewa madaraka hamkawii kuwaambia watu "kama umeme ni ghali washa kibatari"

....you dare to talk openly dont you?

Oh yeah! Anaogopa kuwekewa sumu na Mzee wa sumu
 
hawa magamba ndani ya cdm dawa yao ni moja tu,kuwafukuzia mbali waende wakaanzishe chama chao cha wasaliti... bora kubaki na watu wachache,humbe bila kujali uwezo wao,loyal kuliko kukaa na watu ma opportunistics walio tayari kuuza hata kura za watz kwa ajili ya matumbo yao ... hakuna kurudi nyuma,historia itaitetea chadema kuwa angalau walifanya maamuzi mazito ya kukabiliana na wasaliti na itakuwa kwenye vitabu vya kumbukumbu ... Go chadema!!
 
hahahaaaa unamchokoza Mwenyekiti Mteule Baba V ? wale waliompindua walitimuliwa bila kupewa notisi ya siku kumi na nne japo pia na wao walitumia media kuunadi unyama wao.......Long Live Mzee mwenzangu Baba V
Umesahau, wewe ni mwenyekiti wa mahusiano uliyepinduliwa wa Chit-Chat sio Moderator w Jukwaa la siasa.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom