M to the P kashatua bongo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,847
Kwa sasa yupo njiani akielekea morogoro kwa gari kumzika rafiki yake mangwair. mia
 
"Vipi DJ Haupigi hewani na unasikiliza ghetto hizi vocal demu wako chumbani anapigia ny**o Q ebu kata hyo instrumental kabla machiz hawajakuwa mamento"-Ngwair
 
sasa ni lipi lipo sahihi?? mara hana taharifa kama Albert kafariki, hapa yuko njiani kuelekea moro, lipi ni sahihi??????
 
Daaaaah katua bongo???????
Kama ni kweli ni vizur pia kama afya yake itakuwa imeimarika.......taswira ya mwenzie ingemsumbua pia asingemzika.
Mungu azid kuimarisha afya yko lakin pia safar njema.....mia!
 
sasa ni lipi lipo sahihi?? mara hana taharifa kama Albert kafariki, hapa yuko njiani kuelekea moro, lipi ni sahihi??????

mi mwenyewe wananivuruga tu maana nimetoka kuona picha za M to the P akiwa south africa na maggie hanlon
 
Daaaaah katua bongo???????
Kama ni kweli ni vizur pia kama afya yake itakuwa imeimarika.......taswira ya mwenzie ingemsumbua pia asingemzika.
Mungu azid kuimarisha afya yko lakin pia safar njema.....mia!

miss u sana mkuu. upo?.
pamoja sana!. mia
 
Eh mwacheni amzike rafiki yake
Msiba umenuma huu!! Basi tu Kazi ya ngu haina makosa
RIP Ngwair
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom