M-South apoteza Maisha Akipanda Kilimanjaro; Wa South Wasema Lawama Mlangoni pa Raisi Magufuli

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
upload_2016-7-26_22-29-20.png

Msouth Africa mmoja celebrity kwa jina la Gugu Zulu amepoteza maisha katika harakati za kupanda Mlima Kilimanjaro, na WaSouth Afrika wanamlaumu Raisi Magufuli kwamba japo amekuwa kinara wa kupambana na rushwa na uzembe, lawama za kifo chake wanazitua mlangoni kwa Raisi Magufuli. Wamesisitiza kwamba Raisi Magufuli anapaswa kuchukua hatua, kwa kuwa hivi ni badhi ya vitu alivyokusudia kuviondoa Tanzania katika kuimarisha huduma.

Wamedai kwamba lawama hizo anapaswa azipokee Raisi Magufuli kwa Tanzania kushindwa kuweka huduma bora za usafiri watu wanaopata na matatizo katika eneo hili la Mlima Kilimanjaro, japo ni chanzo kikubwa cha mapato kwa taifa likitembelewa na wageni wengi.

Wameeleza kwamba kifo cha Zulu kimechangiwa sana na kubebwa kwa machela kama inayoonyeshwa pichani hapo juu, na kuipitisha katika njia mbaya kwa muda wa masaa nane,huku mke wake akifuata pembeni. Wamedai hiki ndicho kilifanya hali yake iwe mbaya zaidi hadi akafa. Wamefananisha kifo cha Zulu na jinsi ambavyo mwanaharakati za ukombozi wa South Africa Steve Biko alivyokufa baada ya kupigwa na kuwekwa nyuma ya Land Rover na kusafirishwa umbali mrefu, kitu ambacho kilisababsha kifo chake.

Katika nchi ya Afrika Kusini, wagonjwa kutoka sehemu kama Kilimanjaro zisizofikika kirahisi kwa gari kama katika kupanda Kilimanjaro hufuatwa na helikopta.

'Gugu Zulu's death is a blight on Tanzania' | IOL

Johannesburg - As Kyalami race track remembers Gugu Zulu at a memorial service today, Jovial Rantao ponders the disgrace of his death on Kilimanjaro:

This is a column that His Excellency John Magufuli, president of Tanzania, must read and weep over.

Magufuli, who has earned fame for his anti-corruption and anti-excess stance, as well as getting Tanzanians to work, must do something.

A young South African life has been cut short simply because of the lack of medical facilities at Mount Kilimanjaro, one of the world’s biggest attractions for mountain climbers. Gugu Zulu, a superstar in the prime of his life, a husband, father to an adorable little girl and a South African and African ambassador, died needlessly last week. I lay the blame for Gugu’s death at Magufuli’s door.

The president must do something, not least because what happened represents the old, corrupt, no-work-ethic Tanzania he is working around the clock to change. The tragedy projects an image of Africa that new-generation leaders, such as Magufuli, seek to transform.

Images of Steve Biko being driven in the back of an apartheid police van rushed through my mind as I saw Gugu being taken away on a one-wheeled stretcher, on a bumpy gravel road, in pitch darkness.

The one-wheeled stretcher is an image that represents an Africa that we all want to move away from. It represents the tragedy that is visited on ordinary Tanzanians who live in and around Kilimanjaro National Park.

This is a national asset that has also provided jobs for thousands. But how, in 2016, can an international venue, which rakes in millions in dollar revenue, not have the capacity and facilities to treat sick people?

In 24 hours, we witnessed two heartbreaking incidents. We saw Gugu being wheeled away on that stretcher and his wife, Letshego, and Richard Mabaso, leader of the Trek4Mandela mission, running and walking alongside him.

It took them eight hours to reach a place where they could get help.

Hours later, I watched as a fellow climber - a woman on the hike with her husband - was placed on that stretcher in a sleeping bag, just like Gugu, and taken on that gravel road on a 20km run to find medical help. After a treacherous five-hour trip, some parts of it in the rain, she reached a place where she got it.

These are images that will haunt me forever. These are the hard facts and the cold truths that have made me extremely angry. They should haunt and anger Magufuli too. They should make him do something, so that not one more life that could have been saved, is lost. The president of Tanzania must do something so no Tanzanian or visitor suffers the indignity of being taken for medical attention on that one-wheeled stretcher.

Heroic acts

The truth is that the guides on Kilimanjaro were guardian angels. They did all they could to get the climbers up the mountain; they did all they could to save Gugu. However, their heroic acts were performed under terrible conditions. And these are the conditions President Magufuli can, and should, change.

I am encouraged that the Tanzanian government is to review and improve the situation in Kilimanjaro National Park.

The hike up Kilimanjaro was tough, but an awesome experience. The tragedy formed part of our experience but it should not detract from the bigger mission of helping the needy.

It should not discourage individuals from undertaking this unique expedition or corporates from supporting it so the good cause pursued by Trek4Mandela can be achieved.
 
nasikia kila mwaka watu 10 hufariki huko mlimani. na inasemekana ikawa zaidi.
 
View attachment 371258

Sasa tuanzie wapi kuokoa Wamama na dada zetu wanaojifungulia barabarani au kuokoa Mzungu anayepanda Ml.Kili kwa raha zake mwenyewe? Hospitali zetu hata vitendea kazi tu kwa watu kama Gloves tu huko Wilayani bado ni shaida iweje tukawekeze huduma ya Afya kwenye Milima kwa ajili ya watalii?
Kama wamefia huko juu ni bahati mbaya lkn sidhani kama ni busara kwa sasa kutumia fedha zetu kuwekeza kwenye huduma ya Afya huko Mlimani wkt watu wetu bado hawapati huduma hiyo!
 
hiyo kitu inakuwa ni investment ambayo itavutia watalii wengi na kuwezesha tupate pesa ya kujengea zahanati.
 
Hakuna kitu kama hicho, Watalii wote wanaokuja kupanda Ml.Kili wanafahamu hilo hivyo hata kama ukijenga hawataongezeka kihivyo sana sana unakuwa tu unawajengea watu ambao tayari kwao waliko toka wana Bima na matibabu mazuri kwanza wala hawataitumia hiyo Hospitali hivyo ni bora kuwajengea watu wetu!
 
Sasa tuanzie wapi kuokoa Wamama na dada zetu wanaojifungulia barabarani au kuokoa Mzungu anayepanda Ml.Kili kwa raha zake mwenyewe? Hospitali zetu hata vitendea kazi tu kwa watu kama Gloves tu huko Wilayani bado ni shaida iweje tukawekeze huduma ya Afya kwenye Milima kwa ajili ya watalii?
Kama wamefia huko juu ni bahati mbaya lkn sidhani kama ni busara kwa sasa kutumia fedha zetu kuwekeza kwenye huduma ya Afya huko Mlimani wkt watu wetu bado hawapati huduma hiyo!
Pesa za kununulia vifaa tiba na madawa kwa hao kina mama na wadada zinatoka wapi?
 
Zamani kabla ya kupanda mlima kilimanjaro watu walikuwa wanapimwa agua,kwa sasa sijui Kama wanafatiliaa kuwacheki kwa kila mpandaji maana Kama afya yako mgogoro kupanda mlima huo ni kujitakia matatizo tu
 
Si-tuliambiwa huyo Gulu (R.I.P) alifia kwenye mlima kilimanjaro wa Kenya siyo Kilimanjaro yetu...!?
 
Hakuna kitu kama hicho, Watalii wote wanaokuja kupanda Ml.Kili wanafahamu hilo hivyo hata kama ukijenga hawataongezeka kihivyo sana sana unakuwa tu unawajengea watu ambao tayari kwao waliko toka wana Bima na matibabu mazuri kwanza wala hawataitumia hiyo Hospitali hivyo ni bora kuwajengea watu wetu!
wanunue helcopta na si kujenga hospitali. watalii wanaweza changia 20,000 kama bima ya usafiri wakati wa dharura. kwa watalii 15,000 wanaopanda kila mwaka ni 300m kwa mwaka. hiyo itatosha kufanya huduma ijiendeshe huku credit zetu za huduma bora zikipanda.
 
Halafu hiyo Helikopta iwapeleke wapi hao wagonjwa ikiwatoa huko juu?
 
View attachment 371258

Msouth Africa mmoja celebrity kwa jina la Gugu Zulu amepoteza maisha katika harakati za kupanda Mlima Kilimanjaro, na WaSouth Afrika wanamlaumu Raisi Magufuli kwamba japo amekuwa kinara wa kupambana na rushwa na uzembe, lawama za kifo chake wanazitua mlangoni kwa Raisi Magufuli. Wamesisitiza kwamba Raisi Magufuli anapaswa kuchukua hatua, kwa kuwa hivi ni badhi ya vitu alivyokusudia kuviondoa Tanzania katika kuimarisha huduma.

Wamedai kwamba lawama hizo anapaswa azipokee Raisi Magufuli kwa Tanzania kushindwa kuweka huduma bora za usafiri watu wanaopata na matatizo katika eneo hili la Mlima Kilimanjaro, japo ni chanzo kikubwa cha mapato kwa taifa likitembelewa na wageni wengi.

Wameeleza kwamba kifo cha Zulu kimechangiwa sana na kubebwa kwa machela kama inayoonyeshwa pichani hapo juu, na kuipitisha katika njia mbaya kwa muda wa masaa nane,huku mke wake akifuata pembeni. Wamedai hiki ndicho kilifanya hali yake iwe mbaya zaidi hadi akafa. Wamefananisha kifo cha Zulu na jinsi ambavyo mwanaharakati za ukombozi wa South Africa Steve Biko alivyokufa baada ya kupigwa na kuwekwa nyuma ya Land Rover na kusafirishwa umbali mrefu, kitu ambacho kilisababsha kifo chake.

Katika nchi ya Afrika Kusini, wagonjwa kutoka sehemu kama Kilimanjaro zisizofikika kirahisi kwa gari kama katika kupanda Kilimanjaro hufuatwa na helikopta.

'Gugu Zulu's death is a blight on Tanzania' | IOL

Johannesburg - As Kyalami race track remembers Gugu Zulu at a memorial service today, Jovial Rantao ponders the disgrace of his death on Kilimanjaro:

This is a column that His Excellency John Magufuli, president of Tanzania, must read and weep over.

Magufuli, who has earned fame for his anti-corruption and anti-excess stance, as well as getting Tanzanians to work, must do something.

A young South African life has been cut short simply because of the lack of medical facilities at Mount Kilimanjaro, one of the world’s biggest attractions for mountain climbers. Gugu Zulu, a superstar in the prime of his life, a husband, father to an adorable little girl and a South African and African ambassador, died needlessly last week. I lay the blame for Gugu’s death at Magufuli’s door.

The president must do something, not least because what happened represents the old, corrupt, no-work-ethic Tanzania he is working around the clock to change. The tragedy projects an image of Africa that new-generation leaders, such as Magufuli, seek to transform.

Images of Steve Biko being driven in the back of an apartheid police van rushed through my mind as I saw Gugu being taken away on a one-wheeled stretcher, on a bumpy gravel road, in pitch darkness.

The one-wheeled stretcher is an image that represents an Africa that we all want to move away from. It represents the tragedy that is visited on ordinary Tanzanians who live in and around Kilimanjaro National Park.

This is a national asset that has also provided jobs for thousands. But how, in 2016, can an international venue, which rakes in millions in dollar revenue, not have the capacity and facilities to treat sick people?

In 24 hours, we witnessed two heartbreaking incidents. We saw Gugu being wheeled away on that stretcher and his wife, Letshego, and Richard Mabaso, leader of the Trek4Mandela mission, running and walking alongside him.

It took them eight hours to reach a place where they could get help.

Hours later, I watched as a fellow climber - a woman on the hike with her husband - was placed on that stretcher in a sleeping bag, just like Gugu, and taken on that gravel road on a 20km run to find medical help. After a treacherous five-hour trip, some parts of it in the rain, she reached a place where she got it.

These are images that will haunt me forever. These are the hard facts and the cold truths that have made me extremely angry. They should haunt and anger Magufuli too. They should make him do something, so that not one more life that could have been saved, is lost. The president of Tanzania must do something so no Tanzanian or visitor suffers the indignity of being taken for medical attention on that one-wheeled stretcher.

Heroic acts

The truth is that the guides on Kilimanjaro were guardian angels. They did all they could to get the climbers up the mountain; they did all they could to save Gugu. However, their heroic acts were performed under terrible conditions. And these are the conditions President Magufuli can, and should, change.

I am encouraged that the Tanzanian government is to review and improve the situation in Kilimanjaro National Park.

The hike up Kilimanjaro was tough, but an awesome experience. The tragedy formed part of our experience but it should not detract from the bigger mission of helping the needy.

It should not discourage individuals from undertaking this unique expedition or corporates from supporting it so the good cause pursued by Trek4Mandela can be achieved.

Mbona Gugu Zulu ni black...na huyu aliyebebwa kwenye machela kama mzungu...samahani lakini
 
Mtalii maarufu mwafrika kutoka Afrika Kusini, Gugu Zulu, amefia mlimani mlima Kilimanjaro baadaya kupata natatizo ya kiafya.

Gugu ilibidi ateremshwe kwa machela ya enzi ya ujima maana mamlaka za utalii mlimani Kilimanjaro hakuna hata kelicopter za kuokoa.

Tayari mitandao imeanza kuikashifu Tanzania na idara zake za utalii.

Mchana wa leo nimeona South African Broadcasting Corporation TV wakiendesha ibada ya mazishi ya Gugulani Zulu.

Gugulani Zulu alikuwa maarufu sana Afrika Kusini kwa kuwa mweusi bingwa wa mashindano ya magari.

=======

'Gugu Zulu's death is a blight on Tanzania'
INDUSTRY NEWS / 26 Jul '16, 08:26am
Jovial Rantao

Johannesburg - As Kyalami race track remembers Gugu Zulu at a memorial service today, Jovial Rantao ponders the disgrace of his death on Kilimanjaro:

This is a column that His Excellency John Magufuli, president of Tanzania, must read and weep over.

65758750.jpg

ONLY MEANS: Gugu Zulu was transported on a stretcher similar to this one. Picture: Independent Medi

Magufuli, who has earned fame for his anti-corruption and anti-excess stance, as well as getting Tanzanians to work, must do something.

A young South African life has been cut short simply because of the lack of medical facilities at Mount Kilimanjaro, one of the world’s biggest attractions for mountain climbers. Gugu Zulu, a superstar in the prime of his life, a husband, father to an adorable little girl and a South African and African ambassador, died needlessly last week. I lay the blame for Gugu’s death at Magufuli’s door.

The president must do something, not least because what happened represents the old, corrupt, no-work-ethic Tanzania he is working around the clock to change. The tragedy projects an image of Africa that new-generation leaders, such as Magufuli, seek to transform.

Images of Steve Biko being driven in the back of an apartheid police van rushed through my mind as I saw Gugu being taken away on a one-wheeled stretcher, on a bumpy gravel road, in pitch darkness.

The one-wheeled stretcher is an image that represents an Africa that we all want to move away from. It represents the tragedy that is visited on ordinary Tanzanians who live in and around Kilimanjaro National Park.

This is a national asset that has also provided jobs for thousands. But how, in 2016, can an international venue, which rakes in millions in dollar revenue, not have the capacity and facilities to treat sick people?

In 24 hours, we witnessed two heartbreaking incidents. We saw Gugu being wheeled away on that stretcher and his wife, Letshego, and Richard Mabaso, leader of the Trek4Mandela mission, running and walking alongside him.

It took them eight hours to reach a place where they could get help.

Hours later, I watched as a fellow climber - a woman on the hike with her husband - was placed on that stretcher in a sleeping bag, just like Gugu, and taken on that gravel road on a 20km run to find medical help. After a treacherous five-hour trip, some parts of it in the rain, she reached a place where she got it.

These are images that will haunt me forever. These are the hard facts and the cold truths that have made me extremely angry. They should haunt and anger Magufuli too. They should make him do something, so that not one more life that could have been saved, is lost. The president of Tanzania must do something so no Tanzanian or visitor suffers the indignity of being taken for medical attention on that one-wheeled stretcher.

Heroic acts

The truth is that the guides on Kilimanjaro were guardian angels. They did all they could to get the climbers up the mountain; they did all they could to save Gugu. However, their heroic acts were performed under terrible conditions. And these are the conditions President Magufuli can, and should, change.

I am encouraged that the Tanzanian government is to review and improve the situation in Kilimanjaro National Park.

The hike up Kilimanjaro was tough, but an awesome experience. The tragedy formed part of our experience but it should not detract from the bigger mission of helping the needy.

It should not discourage individuals from undertaking this unique expedition or corporates from supporting it so the good cause pursued by Trek4Mandela can be achieved.

Source: IOL
MY TAKE
Mwandishi wa habari anamlaumu bure JPM
Lawama ziende kwa Bodi ya Utalii na Wizara husika kwa kutoendesha Utalii proffessionally.
JPM amekuwepo miezi nane tu, Bodi na Wizara wapo kwa miaka.
Sioni jinsi watakavyokwepa kutumbuliwa kwa skandali kama hii.
 
Back
Top Bottom