M-PESA na Tigo-pesa zinavyowabana wanaume wasishindwe kukwepa kupigwa mizinga

Shida gani kumtetemekea mtu anayejali hela yako tu na sio wewe.Umeliwa siku ya kwanza ulivompa hela kapotea,kamaliza anakuja tena unampa anasepa na anakusahau ana shida anakuja tena na unaendelea kutoa.Sometimes bora ma beibi wa kununua tu unatoa unapewa
 
Yaani akituma msg ninapiga kimya kama sijaipata na akisema anipigie ninapokea simu fresh ila akianza kuchombezea tu masuala ya pesa full ninazuga kuwa simsikii vizuri kwa kuwa anakatika katika kutokana na tatizo la network
 
Unamwambia batani za namba hazifanyi kazi kabisa kwenye simu yangu ya zero tuu ndio nzima tena na yenyewe haitaki kabisa kubonyezwa zaidi ya mara tatu.
 
Hahahaaaaaaa jaman wanaume mbona mnaruka kamba namna hii naona kila mtu anatoa kisingizio chake looo
 
hebu nipeni semina ya namna yakumuomba mwanaume hela mwenzenu hko kipaj sina

Mkuu bora uombe tu maana utaishia kusikia wanapewa wenzio malak wewe hata mia hujawahi kupewa na hii haimaanishi kwamba usipoomba pesa ndo unakuwa special one nope kama hajakuweka moyoni hajakuweka so kwann nisizile ili hata mambo yakibumbuluka nisilegret chochote
got it hny amsha ubongo
 
Mkuu hata ucpoomba kama hana mpango wa kukuoa hakuoi tu

Mwanaume anayejitambuwa anayajuwa majukumu yake kwa mpenzi wake na hasa kwa wanawake wasiokuwa na vipato, kwa mwenye kipato unajuwa ni angle zipi unatakiwa kucover.
 
Mkuu bora uombe tu maana utaishia kusikia wanapewa wenzio malak wewe hata mia hujawahi kupewa na hii haimaanishi kwamba usipoomba pesa ndo unakuwa special one nope kama hajakuweka moyoni hajakuweka so kwann nisizile ili hata mambo yakibumbuluka nisilegret chochote
got it hny amsha ubongo

umeonaee uombe usiombe kibuti kiko pale pale
 
kile kitu kitamu jamani tunaonge tu ki mzaa mzaa apa hakuna anaye ruka mzingaa kama hela anayo apo keshi ata nusu yake ata mpatia but sio kuruka mizinga ukute upo juu ya bibiee mnalambana lambana we ukimaliza tu apo lazma uchambue kwenye pochi tu icho kitu kitamu sana

yesu mwenywe alimsamehe kahaba aliye mlamba miguu msifanye mchezo na hichoo kitu ni nouma sanaa
 
Back
Top Bottom