hjr
Member
- Aug 11, 2020
- 86
- 71
Msaada wakuu,
Kwa wenye uzoefu zaidi na mpesa mastercard, nilifanya manunuzi aliexpress kwa kutumia mpesa mastercard, mzigo haujafika kwa zile siku zilizopangwa nikasililizia mpaka buyer protection time ikaisha.
Nimefungua dispute na sasa hivi dispute imekubaliwa na wamekubal kunirefund iyo pesa lakini nilisikia kwamba had uwe refunded inatakiwa ujaze fomu ofisi za voda, swali langu la msingi ni kwel natakiwa nifanye hivyo? Au wataerefund pesa itarud bila kujaza iyo fomu?