Hapo ndo panaponiumiza Mimi kwakweli, yaani nimelipia simu thamani yake mpaka shipping cost jumla 350,000 tu Ila Airtel master card wamenikata 25,000 mzima Bora kulipia kwa yuan tuMbona mimi sijawahi Pata hili tatizo? Refund na kutoa hela baina ya Mpesa na card inakubali tu.
Wanachoniboa sasa hivi ni hio 4% fee, ina scale vibaya mno, milioni ujue ni 40,000 hio plus kodi za serikali, shipping fees, na gharama nyengine za ajabu ajabu mwisho wa siku kitu cha 40,000 kina kuwa 80,000