master eagle
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 342
- 86
Ni jambo la kusikitisha sana kuona unafukuzwa nyumba ya kupanga si kwamba huna hela ya pango bali ni uzembe tu wa vodacom kutotoabtaarifa kwa wateja wake kwamba huduma yao ya mpesa haipo hewani kwa takribani siku mbili au tatu.
Jamani yamenikuta mm nipo safarin kikazi nikawa nimetuma laki tisa kwa mke wangu tangu jana alipe kodi ya nyumba chaajabu hawa vodacom paka leo wameshindwa kurekebisha udhaifu wao wa mtandao wao na kusababisha usumbusfu wa kina sana kwetu.kinachoniuma ni pale mama mwenye nyumba kutonielewa na kuamuru nihame nami siko nyumbani.na hela yangu iko kwa simu tayari nashindwa kutoa wala kutuma.
Naamini tatizo kama hili voda si la bahati mbaya walipaswa kutuambia mapema kabla hatujaweka pesa zetu huu ni ubabaishaji wa hali ya juu na napata shakavpengine portifolio yao ipo down sana na wamekuja na kisingizio cha mtandao.nawaambia voda nikitoabtu hela yangu mnikome kama mlivyokoma nawapa taraka kwann hamjifunzi toka tigo na wengineo.MNABOA SANA KAMPUNI IMEWASHINDA HII WAPENI WANAYOIWEZA