M/kiti wa chama - Mkoa anaweza kuwa Mtumishi wa Umma?

Rolf

Member
Jul 4, 2021
16
32
Wakuu Heshima kwenu, na pia habari za weekend!

Naomba kuuliza, kulingana na taratibu na sheria za nchi hii za Utumishi wa Umma; Je mtumishi wa Umma anaruhusiwa kugombea nafasi ndani ya Chama chake kwa ngazi MKOA ( Mwenyekiti wa Chama mkoa ) angali ni mtumishi wa Umma?

Kama anaruhusiwa, je ataendelea na majukumu ya kazi serikalini huku akiwa mwenyekiti wa Chama?

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa wanaofahamu ili mnipe majibu.


ASANTE 👏
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom