M/Kiti wa CDM ilala aanza kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M/Kiti wa CDM ilala aanza kazi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Goheki, Oct 29, 2012.

 1. Goheki

  Goheki JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanajamvi heshima kwenu,
  Kama nilivyodokeza hapo juu,nimepata faraja sana kuona Kamanda huyo akisafisha mto msimbazi eneo la mchikichini kwa kutumia excavator kutoa matope kwenye mto huo.
  Hapa naona raha kuwa na chama cha ushindani wa maendeleo kwa watu wote.
  Source.ITV jiji letu.
   
Loading...