Peter Dafi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 389
- 272
Tunashukuru sana kwa salam kutoka kwa mh kikwete, tunamuomba aungane nasi kwenye kilio cha ukabwaji wa demokrasia hapa nchiniMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) DKT Jakaya Kikwete Anawatakia Watanzania wote na Hasa waumini wa Dini ya Kiislamu Heri ya Siku ya Eid El Fitri.
Allah Apokee Swaum Zenu na atufungulie Milango ya Pepo yake Tukufu.
EID MUBARAQ.
Hivi hayo yote uliyo yataja mbona yangetosha kuwakiishwa na neno ufisadi tu?Huyu jamaa kidogo aiuze nchi,muda wote angani, ufisadi yeye, kujilimbikizia Mali yeye,mauaji ya kisiasa yeye
Hivi hizo dini huwa huwa mnamuabudu Mungu gani?
kweli we ni victor wa happy hata comment inajieleza umejawa majunguHuyu jamaa kidogo aiuze nchi,muda wote angani, ufisadi yeye, kujilimbikizia Mali yeye,mauaji ya kisiasa yeye
Hivi hizo dini huwa huwa mnamuabudu Mungu gani?
Huyu jamaa kidogo aiuze nchi,muda wote angani, ufisadi yeye, kujilimbikizia Mali yeye,mauaji ya kisiasa yeye
Hivi hizo dini huwa huwa mnamuabudu Mungu gani
Akili ndogo kazini.Huyu jamaa kidogo aiuze nchi,muda wote angani, ufisadi yeye, kujilimbikizia Mali yeye,mauaji ya kisiasa yeye
Hivi hizo dini huwa huwa mnamuabudu Mungu gani?
Yamekukera?Hivi hayo yote uliyo yataja mbona yangetosha kuwakiishwa na neno ufisadi tu?
lakini wakati mwingine haya maneno ni mazito sana taratibu jamani,hivi mfano wewe ungelikuwa rais wa nchi hii ungewatumikia wananchi kweli? au tumebakiza kurusha maneno mazito mazito tu,mwacheni shekh kikwete apumzike labda pengine alizidiwa ujanja na maadui zake mambo yakashindikana tuwe na hekima kidogo.Hiyo ndio platform aliobaki nayo ya kutafutia kick; na ndio maana anafanya mizengwe aendelee na huo uenyekiti!! Stooge wake Membe anahangaika kuwakusanya wafanyabiashara ili wamuhujumu JPM lakini wamejulikana na wanathibitiwa!!
Salamu zake tumezipokea.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) DKT Jakaya Kikwete Anawatakia Watanzania wote na Hasa waumini wa Dini ya Kiislamu Heri ya Siku ya Eid El Fitri.
Allah Apokee Swaum Zenu na atufungulie Milango ya Pepo yake Tukufu.
EID MUBARAQ.