M/kiti BAWACHA Agnesta Lambert, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay kwa kosa la kupiga picha mahabusu

Agness Lambert - huyu Dada sijuwi maCCM akawafanyia nini ?? Kipindi cha campaign magamba walimvuja miguu , mikono pamoja na gari lake kisa alichomeka bendera za CDM kwenye gari lake.....polisi baado wanawasaka wahusika toka 2015......Mungu wakill wote maCCM abaki RAIA mwema tu tumechoka!!
 
Mkuu naomba tukumbushie hizo marufuku zinapatikana katika kifungu gani cha sheria...?

ACHA UBISHI USIO NA MSINGI, CHA MAANA ELEWA KUWA NI "MARUFUKU" KUPIGA PICHA MAENEO YOTE AMBAO MAMLAKA HAZIRUHUSU !! ILA KAMA UNATAKA UKIJUE KIFUNGU CHA SHERIA ENDELEA NA UBISHI WAKO KAPIGE PICHA, WAKIKUDAKA UTAKIJUA HICHO KIFUNGU UNACHOKITAKA
 
Sio ubishi mkuu..wew sema sijui
 
Hivi tunatawaliwa na binadamu wa kweli au 'yule aliyeasi kule paradiso' akatupwa jehenam? yaani sasa nchi inaogopesha hata kutaja jina lake!
 
ndugu zangu chadema hili ni kosa kisheria na linafahamika kwa sheria za jeshi la polisi/uhamiaji/magereza na hata jeshi la wananchi
ni kosa kupiga picha ukiwa ndani/nje ya kampaundi zao

..ni kweli,lakini chanzo ni polisi kutokutenda haki kwa Aida Olomi.

..hata maandamano ya chadema yaliyokuwa hayana kibali chanzo ni msimamizi wa uchaguzi kuwanyima mawakala wa chadema nakala za viapo vyao.

..HAKI haitendeki kwa wana chadema.
 
Back
Top Bottom