M,anispaa zinazingua hasa dar es saalam,waalimu wapya bado hakija eleweka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M,anispaa zinazingua hasa dar es saalam,waalimu wapya bado hakija eleweka

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mnyevushaji, Feb 7, 2012.

 1. m

  mnyevushaji Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau cc waalimu wapya tuliopangiwa kazi ktk mikoa mbalimbali tunaibiwa,subsistance allowance ni bei gani kwa jijij na mikoa? afu ni cku ngp?tetesi eti mwaka huu wanalipa cku 7 tu'kiasi hakijulikani ss ni waraka upi unasema hayo mana hawatuonyeshi.mwenye data atujuze
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  M2 wangu wanalipa kwa cku 7 tu halafu mpangilio ni degree 65000/= diploma 45000/=
   
Loading...