Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Ama kweli ukistaajabu ya musaa utayaona ya masaburi
nimesoma gazeti moja lyumba amekamatwa na simu gerezani jamaa wakampeleka kituo cha polisi kumfungulia jalada
wakiwa wanatoa maelezo mkuu wa kituo akamuuliza sheria gani inazuia mtu kutotumia simu akiwa gerezani
hili ndilo lililonichefua kuja kuuliza wanasheria wa jf ...binafsi naona yule polisi mwehu kamaa sio mwendawazimu
sababu akiwa pale kituoniw ameletwa wahalifu watano wakavuliwa mikanda na kuchukuliwa simu zao najiuliza
simu amezichukua za nini na je sheria ipi airuhusu mahabusu kuvaa mikanda ??
Kenu wanashwaria