Lyumba abambwa na simu gerezani;vapelekwa kituoni; polisi wahoji sheria ipi inamzuia kutumia simu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Ama kweli ukistaajabu ya musaa utayaona ya masaburi
nimesoma gazeti moja lyumba amekamatwa na simu gerezani jamaa wakampeleka kituo cha polisi kumfungulia jalada
wakiwa wanatoa maelezo mkuu wa kituo akamuuliza sheria gani inazuia mtu kutotumia simu akiwa gerezani

hili ndilo lililonichefua kuja kuuliza wanasheria wa jf ...binafsi naona yule polisi mwehu kamaa sio mwendawazimu
sababu akiwa pale kituoniw ameletwa wahalifu watano wakavuliwa mikanda na kuchukuliwa simu zao najiuliza
simu amezichukua za nini na je sheria ipi airuhusu mahabusu kuvaa mikanda ??

Kenu wanashwaria

akuna sheria inayomruhusu mfungwa kuwa na cm gerezani
Ipo inayozuia? Nadhani hilo ndilo suala la msingi la huyo polisi. Maana hawezi kumpeleka mahakamani kama hakuna sheria mahsusi iliyovunjwa!

Mimi sijui sheria za gereza, lakini common sense inaniambia sio salama kwa mfungwa kuwa na simu gerezani. Inaeezekana hakuna sheria inayozuia kwa sababu mobile phone ni teknolojia ya karibuni tu! Common sense peke yake haitoshi kumuhukumu mtu, kama hakuna sheria!

tuanze na hii ya kuruhusu tv ibara ua ngapi naamini tutapata ya simu..yule punguan polisi anasema anajua aruhusiiwi akiwa polisi lakini ya gerezani awana uhakika shame on he

Wewe huwezi kutofautisha mfungwa na mahabusu?, liumba ni mfungwa- anahakinyingi kama kupata habari na kadhalika, mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi anapaswa kuwa isolated ili asiingilie uchunguzi na pia lazima atengwe na hatarishi kama mikanda ya ngozi.

Back
Top Bottom