Elections 2010 Lyatonga mrema nae!

Djunior

Member
Sep 28, 2010
45
1
Wanajamii nisaidieni hili. Hivi huyu mzee wetu lyatonga ni kwanini anang'ang'ania sana madaraka? Wakati wa mfumo wa vyama vingi alitoka CCM na kujiunga na NCCR, Akaharibu akaanzisha NCCR MAGEUZI nacho kikamshinda akahamia TLP nako nahisi kutamshinda na kote huko yeye ni mwenyekiti kwa ushauri wangu apumzike au mnasemaje wanajamii.
 
kwanza lyatonga hakuanzisha NCCR mageuzi alihamia tu. Pili anachofuata ni pesa tu bungeni, unajua kwa mshahara wa sasa kwa miaka mitano mbunge atapokea mshiko wa kiasi gani ukijumuisha na posho za vikao vya bunge kwa miaka 5? ni zaidi ya tsh 500ml. Na hiki ndicho wabunge wengi wa ccm wanakifuata including mrema
 
icon1.gif
Re: Lyatonga mrema nae!

Duh no comment breaking news.

NOTED BREKING NYUZI
 
Msanii usijenge hoja best hata wewe hukosea big up uko makini.
 
Wanajamii nisaidieni hili. Hivi huyu mzee wetu lyatonga ni kwanini anang'ang'ania sana madaraka? Wakati wa mfumo wa vyama vingi alitoka CCM na kujiunga na NCCR, Akaharibu akaanzisha NCCR MAGEUZI nacho kikamshinda akahamia TLP nako nahisi kutamshinda na kote huko yeye ni mwenyekiti kwa ushauri wangu apumzike au mnasemaje wanajamii.

Hivi jamani kuliwahi kuwa na chama kinaitwa NCCR? Mimi sijawahi kusikia chama chenye jina hilo, hata mwanzilishi wake sijawahi kumsikia pia. Nijuzeni
 
Naona Djunior amepoteza kumbukumbu kidogo.Hakikuwahi kuwepo chama kinaitwa NCCR na kikawa tofauti na kile cha NCCR-MAGEUZI.

Djunior alivyoiandika ananikumbusha wanamuziki wa FM wakatengana na kuunda FM ACADEMIA.
 
huyu jamaa nampenda sana.
1.ni mcapa kazi na si mwanasiasa.
2.alifanya mabadiliko makubwa sana enzi zake
mpeni kura za ndio awe mbunge wa vunjo.

kwa taarifa. vijana wengi wa vunjo wako mjini,wakina mama na wazee ndo wamebaki ndo wanaofahamu fadhila za mrema kwenye kahawa na kuwanusuru na vipigo vya waume zao mrejesheni
 
Na...na...na.....na....pa....ta....ki...gu...gu..gu...mi...mi....zi....!!!!!!!
 
Back
Top Bottom