Lyatonga Mrema: IGP Sirro puuza ushauri wa IGP Mstaafu Mahita, Aliwahi kunibambikizia kesi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole, Augustino Mrema amuasa IGP Sirro kuupuza ushauri wa IGP mstaafu Mahita wa kuwashughulikia wapinzani wakorofi kwani yeye aliwahi kumbambikizia kesi.



mrema1.jpg
 
Ni kweli Mahita amedhalilisha ubongo wake kwa ile kauli.

Lakini huyu aliyekuja kutuonyesha kua ule ushauri upuuzwe yeye mwenyewe siku hizi amekuaje?
 
Eti Siro anataka mpaka kupelekewa ripoti endapo uharamia unafanyika yeye hashughuliki bila taarifa ya maandishi


MBONA BALAA ALBINO SIWATAISHA KWA MITAZAMO HII YA SIRO KUSUBIRIA KUPELEKEWA MAANDISHI NDIPO ASHUGHULISHE JESHI LAKE!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom