Agustine Lyatonga Mrema amefanya "booking" kwa Rais yeyote ajaye ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani ambayo anaamini aliimudu sana. Anasema hajazeeka kwani hata akina Papa Benedict wa 16 bado yuko kazini pamoja na kuwa na umri wa miaka 82!
keshaanza mzee wa kazi..............
bunge la mwaka huu silipimii....................
Viva Slaa........................
Pensheni aliyoipata ya kuwa bungeni inatosha, asitake kuanza kuomba mambo mengine, ajiandae tu kupumzika.
hana lolote mrema, alikwisha , amechoka...lakini heri moja shika uende kuliko kumi nenda rudi. Heri mrema wa tlp kuliko angekuwa fisadi sijui nani wa ccm.
pensheni aliyoipata ya kuwa bungeni inatosha, asitake kuanza kuomba mambo mengine, ajiandae tu kupumzika.