Elections 2010 Lyatonga aitaka tena wizara ya mambo ya ndani

WildCard

JF-Expert Member
Apr 22, 2008
7,506
2,409
Agustine Lyatonga Mrema amefanya "booking" kwa Rais yeyote ajaye ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani ambayo anaamini aliimudu sana. Anasema hajazeeka kwani hata akina Papa Benedict wa 16 bado yuko kazini pamoja na kuwa na umri wa miaka 82!
 
Akubali tu kujiridhisha na hapo alipofika. Anastahili lakini kuwa mbunge, na huko bungeni asisumbuke sana, vijana wapo wa kufanya kazi...
 
the man did the best...na hakuna aliyeiweza wizara ile zaidi ya mzee huyu...my take ni LETS GIVE HIM ANOTHER CHANCE
 
Pensheni aliyoipata ya kuwa bungeni inatosha, asitake kuanza kuomba mambo mengine, ajiandae tu kupumzika.
 
Agustine Lyatonga Mrema amefanya "booking" kwa Rais yeyote ajaye ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani ambayo anaamini aliimudu sana. Anasema hajazeeka kwani hata akina Papa Benedict wa 16 bado yuko kazini pamoja na kuwa na umri wa miaka 82!

keshaanza mzee wa kazi..............

bunge la mwaka huu silipimii....................

Viva Slaa........................
 
aha ha ha ha ha atulie tu asubiri kula pensheni yake wako vijana tunaowategemea
 
Pensheni aliyoipata ya kuwa bungeni inatosha, asitake kuanza kuomba mambo mengine, ajiandae tu kupumzika.

Kuna watu wanaoweza hiyo kazi naona huyu mzee kaishaanza vituko hata kabla hajaingia mjengoni sijui akiingia itakuwaje mwaka huu si mchezo
 
Hana lolote Mrema, alikwisha , amechoka...lakini heri moja shika uende kuliko kumi nenda rudi. heri Mrema wa TLP kuliko angekuwa fisadi sijui nani wa CCM.
 
hana lolote mrema, alikwisha , amechoka...lakini heri moja shika uende kuliko kumi nenda rudi. Heri mrema wa tlp kuliko angekuwa fisadi sijui nani wa ccm.

huyo bwana anataka kujifanya sasa hivi ndio chuma cha pua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom