Lwanda Magere: Nona simulizi hii kaihamishia Radio Free Africa

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,892
3,913
Nakumbuka humu huyu jamaa alileta habari yake ya kumiliki Mali kwa njia za kishirikina, kama kumbukumbu zangu zipo sahihi, halafu akahamia Telegram huko.

Sasa leo katika pitapita zangu nasikiliza akithimulia huku Radio Free Africa
 
Back
Top Bottom