Elections 2010 Lwakatare yu wapi?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,138
79,267
Jamani mbona sijamskia Wilfed Lwakatare kama amechukuwa fomu? na anagombea jimbo gani? kile kifaa mbona kiko kimya namna hii? Huko Kagera ina maana Chadema haina mikakati ya kuzoa majimbo?
 
IMGP5798.JPG

IMGP5812.JPG

Lwakatare huyu hapa kama alivyokutwa juzi juzi tarehe 20 katika eneo la Soko kuu mjini Bukoba akitangaza nia ya kugombea katika jimbo la Bukoba mjini.Mwanaume bado anatisha huyu.
 
Jamani mbona sijamskia Wilfed Lwakatare kama amechukuwa fomu? na anagombea jimbo gani? kile kifaa mbona kiko kimya namna hii? Huko Kagera ina maana Chadema haina mikakati ya kuzoa majimbo?

Mchakato unaoendelea kwa sasa ni wa CCM, wagombea wa vyama vingine wana taratibu zao. Nina uhakika kwamba Jimbo la Bukoba Mjini Bwana Lwakatare atapambana na Balozi Kagasheki ambaye amepita bila kupingwa kwenye mchakato wa awali wa CCM. So, subiri Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikitangaza kwenda kuchukua fomu ndiyo utajua watu gani kutoka kambi ya upinzani wataingiza timu kwenye king'anyiro.
 
Kapita bila kupingwa wapi?

Story ni kwamba huyu bwana alichukua yeye form pamoja na bwana mwingine anajulikana kwa jina la Rweyemamu na aliwahi kuwa meneja wa chama kikuu cha ushirika pia alichukua form.

Kwa macho yangu nilishuhudia akifuatwa fuatwa na mpambe mmoja wa Balozi Kagasheki anayejulikana kwa jina la Kabaka. Kwa ufupi mara baada ya huyo Rweyemamu kupeleka form yake kwa katibu wa tawi lake na kupata signature na kuanza safari ya kupeleka hiyo form, huyo Kabaka alimfuata kwa na alimbeba kwa gari na kuondoka naye na hakurudisha ile form hadi muda uliopangwa ulipokwisha. Wapambe wake walipojaribu kumpigia simu hakuwa anapatikana tena siku nzima.

Kuna tetesi kuwa alipewa shillingi 1,000,000= pamoja na shilingi 100,000= yake ya kuchukulia form ili ajitoe kwenye race.

Hakuna cha kupita bila kupingwa kama si pesa. Huu ndio ukweli wenyewe. Sasa sijui atawaonga na wa vyama vingine?
 
MchukiaFisadi,
You sound like afisa wa TAKUKURU vile maana sinema yote umeishuhudia...jamaa kenda kuchukuwa fomu, kabebwa ndani ya gari, mpaka fedha alizopewa na idadi yake unazijuwa na hata wapambe wake wakati wanamtafuta ulijuwa..then this thread is not supposed to be here but at Jukwaa la inteligensi.Mkuu wewe noma!
 
kuna watu kweli ni wanaharakati kama huyu bwana Mh. Slaa ukipata urais usimsahau huyu mpiganaji mpe Uwaziri Mkuu

Jambo kubwa alilonifurahisha huyu jamaa ni kujitoa kwenye forum ya walimu na wanafunzi wa madrasa.
 
Kapita bila kupingwa wapi?

Story ni kwamba huyu bwana alichukua yeye form pamoja na bwana mwingine anajulikana kwa jina la Rweyemamu na aliwahi kuwa meneja wa chama kikuu cha ushirika pia alichukua form.

Kwa macho yangu nilishuhudia akifuatwa fuatwa na mpambe mmoja wa Balozi Kagasheki anayejulikana kwa jina la Kabaka. Kwa ufupi mara baada ya huyo Rweyemamu kupeleka form yake kwa katibu wa tawi lake na kupata signature na kuanza safari ya kupeleka hiyo form, huyo Kabaka alimfuata kwa na alimbeba kwa gari na kuondoka naye na hakurudisha ile form hadi muda uliopangwa ulipokwisha. Wapambe wake walipojaribu kumpigia simu hakuwa anapatikana tena siku nzima.

Kuna tetesi kuwa alipewa shillingi 1,000,000= pamoja na shilingi 100,000= yake ya kuchukulia form ili ajitoe kwenye race.

Hakuna cha kupita bila kupingwa kama si pesa. Huu ndio ukweli wenyewe. Sasa sijui atawaonga na wa vyama vingine?

Huyu Kabaka ndie aliyemleta KARAMAGI na kuambualia Prado bovu..... hovyo kabisa mtu huyu...anapenda rushwa kishenzi
 
Cha kufurahisha zaidi huyu jamaa ni kujiunga kwenye forum ya walimu wa kwaya na nyimbo za injili wakiongozwa na padre na muuza bar..

Bwaha bwaha bwaha bwaha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom