Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
Haha, jmushi1, infact hapa sioni kesi. Maana huo uhalifu uliopangwa haukutekelezwa. lakini kesi itakayopelekwa mahakamani labda ni hiyo kwamba ameshiriki katika mipango ya kihalifu. Lakini sioni connection ya hiyo video na tukio la kibanda.Ok mkuu,kwahiyo mashtaka dhidi yake yatakuwa ni yapi?Ni uhalifu gani hiyo video itatumika kama ushahidi kuwa aliufanya ama kuupanga?
Ni kesi ya mwanidishi yupi atapewa?Kibanda?
Last edited by a moderator: