Lwakatare: Tupo tayari kwa lolote litakalotokea, asisitiza wapo sahihi, apuuza vitisho vya Mbowe

Mbowe ajitafakali sana chama kikishindwa uchaguzi mwaka huu atakuwa amekizika mbowe anatakiwa kufahamu kwamba mawazo ya mtu mmoja hayawezi kuleta tija ndani ya chama chama kinahitaji reform.
 
Unawe
Mkuu afadhali umewaambia hawa watoto wa jana hawajui hata historia ya upinzania Tanzania,wao wanamjua Mbowe tu ,huyu Mbowe wa jana kwenye upinzani.
Unawezaje kuongelea siasa za Upinzani alafu ukasema Mbowe wa Jana!!!..msijifunze siasa kwa kusoma vijarida hivi!!!...
 
Mbowe ajitafakali sana chama kikishindwa uchaguzi mwaka huu atakuwa amekizika mbowe anatakiwa kufahamu kwamba mawazo ya mtu mmoja hayawezi kuleta tija ndani ya chama chama kinahitaji reform.
Unataka ajitafakari kwa kupata credit za kutosha ndio maana nikasema siasa ni hesabu na biashara Kali sana Hadi uweze kuicheza vizuri inahitaji akili nyingi sana!!!...
 
Acha , uchochezi Lwakatare bila Mbowe wewe usingemjua Tuulize sisi wanabukoba tukupe ukweli.
Na mwaka 2000 alipokuwa Mbunge wa Bukoba Mjini (CUF) na KUB kabla Mbowe tulikuwa hatumjui? Au kwa kuwa wewe siasa umezijua Oktoba, 2019 ulipoingia chuo ndio maana humjui vizuri Lwakatare na ukafikiri wengine hawamjui?
 
Kiukweli nimeanza msikia Lwakatare akichachafya toka mageuzi yalipoanza 1992. Mwaka 1995 aligombea ubunge hakupata na 2000 akafanikiwa kuwa Mbunge. Na akawa kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB). Wakati huo Mbowe hata hasikiki, aweza kuwa na kadi tu ya Chadema. Lakini kitaifa watu hawakumjua Mbowe. Aliye fahamika nyakati hizo ni mzee Mtei na Bob Makani. Hawa ndo nakumbuka hata mwaka 1993 vyama vya Upinzani viliitisha mkutano mkubwa pale jangwani nakumbuka kumuona Lwakatare. Mbowe hata jukwaani hakuwepo. Huu ndo mkutano wa kwanza uliotikisa wa vyama vyote vya Upinzani kwa mara ya kwanza. Nilipenda sana hotuba ya mzee Mtei, ilitulia mzee hakuwa na mihemuko wala mabavu. Aliongea kisomi kwa busara na ushawishi wa hoja.

Unawezaje kuongelea siasa za Upinzani alafu ukasema Mbowe wa Jana!!!..msijifunze siasa kwa kusoma vijarida hivi!!!...
[/QUOTE]
 
Their chairman who lacks a university degree but many of his thuglike followers take him as a learned person must be reeling with anger
Tanzania tuna PhD za science na still zinatest corona kwenye mapapai,mbuzi na mafenesi Kisha zinatoa conclusion kwamba either test kits hazifanyi kazi or wafanyakazi ni vilaza
 
Kwa mujibu wa Lissu alivyomsikiliza SPIKA ndugai kuna statement aliyoongea Ndugai anamaanisha Wabunge wasiporudi bungeni basi watakosa hadi Kiinua mgongo chao kile cha 250m....Sasa ukiangalia Lwax kashatangaza kwamba hatogombea tena ubunge kwahiyo ameangaliza zaidi mpunga wake.
 
Kiukweli nimeanza msikia Lwakatare akichachafya toka mageuzi yalipoanza 1992. Mwaka 1995 aligombea ubunge hakupata na 2000 akafanikiwa kuwa Mbunge. Na akawa kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB). Wakati huo Mbowe hata hasikiki, aweza kuwa na kadi tu ya Chadema. Lakini kitaifa watu hawakumjua Mbowe. Aliye fahamika nyakati hizo ni mzee Mtei na Bob Makani. Hawa ndo nakumbuka hata mwaka 1993 vyama vya Upinzani viliitisha mkutano mkubwa pale jangwani nakumbuka kumuona Lwakatare. Mbowe hata jukwaani hakuwepo. Huu ndo mkutano wa kwanza uliotikisa wa vyama vyote vya Upinzani kwa mara ya kwanza. Nilipenda sana hotuba ya mzee Mtei, ilitulia mzee hakuwa na mihemuko wala mabavu. Aliongea kisomi kwa busara na ushawishi wa hoja.

Unawezaje kuongelea siasa za Upinzani alafu ukasema Mbowe wa Jana!!!..msijifunze siasa kwa kusoma vijarida hivi!!!...
[/QUOTE]Alikuwa dereva wa Baba mkwe wake akija Dar kwa shughuli za kichama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema Members of Parliament who defied a quarantine order from their party Chairman, Mr Freeman Mbowe, and proceeded with parliamentary sessions, said yesterday that they are ready for any decision taken against them.

The party’s Parliamentary Secretary Wilfred Lwakatare said the MPs who are in session believe they are right. He told a press conference that they have wrongly been accused of going against the party’s directive.

Mr Mbowe issued an order recently requiring all Chadema MPs to stop attending the sessions and instead quarantine themselves for 14 days over Covid-19 fears following the deaths of three MPs in under two weeks. Mbowe accused the House leadership of mishandling the coronavirus responce.

The matter has since pittied the opposition party and Speaker Job Ndugai who has asked them to refund allowances they had signed for and also present proof of Covid-19 tests after the 14 days.

Yesterday, the Bukoba Urban MP revealed that there were at least 16 Chadema legislators attending the Parliament sessions for now.

Mr Lwakatare said that the procedure used to bar them was not consultative.

He said if the party leadership saw their decision to continue attending Parliament as an act of defiance, they were ready to be punished as deemed fit.

“The directive wanting us to stop attending the sessions was issued on our WhatsApp group. Some of us were not satisfied.”

with they way the decision was reached without involving us by conducting an official meeting with the members,”.

He noted that the directives were a sign of dictatorship that would divide members. According to him, if the party decided to make them accountable for their decision then he advised that it should also do the same for those who travelled out of Dodoma against the required procedure.
l
Speaking about speculation that they wanted to overthrow their leaders, he said he was only voted in for the position by other MPs who were present in Parliament.

“We have no plans to overthrow them, I was only made the coordinator following the Covid-19 pandemic that requires every Legislature who wants to contribute in the sessions to make it known in advance to the Chair of the meeting of which it will be part of my duties to do so,” he said.

In view of that, he said they were advised to appoint interim leaders to coordinate such decisions and not to overthrow their leaders as was currently being speculated.

He therefore called on Chadema Legislatirs who have absconded Parliament sessions to return back and continue with the sessions according to the constitution.

Source: The Citizen
Dada Wakudadavuwa unatafutwa kule kwenye mada uliyoanzisha ya kuwatuhumu CHADEMA kwamba wamefanya kikao cha kamati kuu hotelini! Nenda ukatoe maelezo!
 
Their chairman who lacks a university degree but many of his thuglike followers take him as a learned person must be reeling with anger

You are dead wrong about a university degree. If we go by that, you will likely see the paper worthless in some and yet needless in some!! If you thought being “learned” has anything to do with papers - no wonder you are where you are. A person that contributes nothing to the society but opens their mouth to be spoonfed. Pathetic!!
 
Back
Top Bottom