Lwakatare mahakamani na HATIMA yake leo

Status
Not open for further replies.

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare atafikishwa tena mahakamani leo

---------------------- Update:-
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imeshindwa kwa mara nyingine kumpa dhamana mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema Wilfred Lwakatare.

Hakimu anayesikiliza kesi hiyo amesema ameshindwa kutoa uamuzi kwa sababu alikuwa likizo na anaomba siku ya leo aitumie kwa kupitia maombi hayo ya dhamana.

Hakimu huyo amesema atatoa uamuzi wa ama kutoa dhamana ama kumnyima dhamana Lwakatare kesho saa 2 asubuhi.

Viwanja vya mahakama vilifurika umati mkubwa wa wafuasi wa Chadema ambao muda wote walikuwa wakiimba Peoples Power!
 
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare atafikishwa tena mahakamani leo
Mahakama za Tanzania tatizo zinaendeshwa na wanasiasa sina hakika kama kamanda wangu atapewa dhamana!!
 
inauma sana haki kuminywa namna hii, inabidi hata mhimili wa mahakama hapa nchini uwe huru, kuanzia jaji mkuu na wengine wasiteuliwe ila iwe post ya kuomba na ipitishwe na bunge
 
Nimeswali leo saa tisa usiku,nimeongea na mwenyezi ameniahid kua leo tutakua nae uraian.i beleave with God. Hebu sasa tumuachiyeye alio tuumba,lwakatare amekosa nini mpaka ateseke?alipo mwenyez shetwan hua anaufyata so we're going to see picha mpya na upande wa haki unakwenda kushinda kwa kishindo
 
acha ujuha ww...huyo gaidi hatumtaki huku uraiani.
 
Nimeswali leo saa tisa usiku,nimeongea na mwenyezi ameniahid kua leo tutakua nae uraian.i beleave with God. Hebu sasa tumuachiyeye alio tuumba,lwakatare amekosa nini mpaka ateseke?alipo mwenyez shetwan hua anaufyata so we're going to see picha mpya na upande wa haki unakwenda kushinda kwa kishindo

mungu hawezi kuwa upande wa walisha watu sumu, magaidi na watesaji
 
mungu hawezi kuwa upande wa walisha watu sumu, magaidi na watesaji
Leo wewe ndiyo upo zamu? Naona semina elekezi ya lumumba inafanyakazi, kila mlumumba achangie uharo zaidi ya mara kumi na tano kwenye post moja ili tuweze kukabana na hawa makamanda wa magwanda,si unajua walivyo wengi?na walivyo na hoja nzito? Komaeni vijana,hoja ya kuwaongeza posho ipo mezani.
 
inauma sana haki kuminywa namna hii, inabidi hata mhimili wa mahakama hapa nchini uwe huru, kuanzia jaji mkuu na wengine wasiteuliwe ila iwe post ya kuomba na ipitishwe na bunge

gaidi hana haki hata moja.
 
Mungu awe naye kamanda lwakatare naamini haki haiwezi kuzuiwa ila inacheleweshwa tu.
 
sijui kama huyo hakimu amemaliza likizo.

lakini najiuliza hivi ingekuwa ofisi zote zinafanya hivi ingekuwaje? yaani ukienda likizo baaasi kila kitu cha ofisi yako kinasimama mpaka utakapo rudi, sijui tunakwenda wapi kwa kweli...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom