Elections 2010 Lwakatare kura hazikutosha

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Kutoka Bkb Mjini,bwana Kagasheki amemshinda kwa taabu,mbunge wa Chadema,Wilfred Lwakatare.Lwakatare usikate tamaa,Mungu akupe nguvu.
 
Mayenga acha uzushi, ubunge kagera watatangaza saa nane,acha kuchakachua mpaka mawakala wasaini. MATOKEO KWA BUKOBA MJINI BADO.
 
Pole sana Lwakatare, nilikuwa nategemea sana huyu jamaa ashinde. Kumetokea nini huko Bukoba mjini?
 
Lwakatare usikate tamaa,Mungu akupe nguvu.

last time Lwakatare alijichukulia sheria mkononi ni vyema sasa akaamini ya kuwa asiyekubali kushindwa siyo mshindani...........................
 
Walioichagua sisiemu tusiwatusi maana hizo si kura zao bali za tume ya uchaguzi chini ya uratibu wa wasimamizi wa kura.
 
Back
Top Bottom